FundiPopote (@fundipopote) header
FundiPopote (@fundipopote) profile picture

A solution for all your home/office repair needs Bridging the trustworthy gap between fixers(mafundi) and society.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2018
Sasa tuna Youtube channel iitwayo FundiPopote tafadhari twende tuka subscribe💪
1
4
EN:They need to be supported to show their potential. We must believe in them to flourish their glory. SW:Wanahitaji kuungwa mkono kuonyesha uwezo wao. Lazima tuwaamini ili kukuza utukufu wao. #dadafundi #InternationalDayoftheGirl #fundipopote
1
1
5
Imeharibika?? Njoo Tukutengenezee!! FundiPopote ni suluhisho kwako tembelea tovuti yetu fundipopote.co.tz au tupigie simu +255685470336 Je unahitaji fundi?? *Fundi Garden* *Fundi umeme* *Fundi AC* *Fundi rangi* *Fundi gari* *Fundi Computer* *Fundi seremala* *Fundi bomba*
1
4
You're imperfect, and you're wired for struggle, but you are worthy of love and belonging — Brene Brown. . . . . . . . Wewe sio mkamilifu, na uko kwa vita, lakini unastahili kupendwa na kutunzwa - Bren Brown.
3
9
Pavings pia tunatengeneza!!! @ FundiPopote instagram.com/p/CB0dzNwh4Li/…
1
Wiring ya umeme ni ufungaji wa umeme wa vifaa vya matawi na vifaa vinavyohusiana kama swichi, bodi za usambazaji, soketi, na vifaa vya taa kwenye muundo. Wiring iko chini ya viwango vya usalama kwa kubuni na… instagram.com/p/CBqMmzqBjSO/…
1
#JifunzenaFundipopote Feni yaa umeme hutumiwa kudhibiti joto la ndani. Watu hutumia kawaida wakati wa siku za joto na zenye unyevunyevu ili kuongeza harakati za hewa nyumbani. Feni zingine za umeme wanahamishika na… instagram.com/p/CBYD1KCBDeg/…
Hata madawati pua tunatengeneza!!! Tuite tukuletee kazi ya next level🔥🔥 @ FundiPopote instagram.com/p/CBP1AsSh4Hg/…
1
2
Je unahitaji fundi?? *Fundi Garden* *Fundi umeme* *Fundi AC* *Fundi rangi* *Fundi gari* *Fundi Computer* *Fundi seremala* *Fundi bomba* Usihangaike tena, mafundi wetu ni waaminifu na wenye uwezo mkubwa💪 Usitupe tena… instagram.com/p/CBK5eR7BNBb/…
#JifunzenaFundiPopote Televisheni ni moja ya maajabu makubwa ya kizazi cha kisasa. Ni njia ya burudani na vile vile elimu, Pia inachukuliwa kama njia maarufu zaidi ya burudani HISTORIA ZAIDI; Televisheni… instagram.com/p/CBFlTenBbkI/…
1
Wanasema knowledge is power (Maarifa ni nguvu) kuanzia tarehe 6 Juni tutaanza kuwaelimisha kuhusu vifaa mbalimbali pamoja na ufundi wake na jinsi yakuvitunza ili vidumu kwa mda mrefu, hivyo basi kaatayari kuunhana nasi #haributukutengenezee #MimiNiFundi #dadafundi
7
14
Kampuni yetu inachukua nafasi hii kuwatakia #mafundi wetu na #wafanyakaziwote heri ya siku ya wafanyakazi duniani #LabourDay #haributukutengenezee #dadafundi #staysafe #tujikingenacorona #WorkersDay2020
5
12
It is difficult to say what is impossible, for the dream of yesterday is the hope of today and the reality of tomorrow. ofisi zetu zimefungwa lakini operesheni zote zitafanyika kwa njia ya mtandao kupitia website… instagram.com/p/B-4OGSyhU-k/…
1
3
Tunazidi kukua siku hadi siku🔥💪🏾 Je Una shida ya fundi wa nyumbani au ofisini?? usipate shida FundiPopote ni suluhisho kwako tembelea tovuti yetu leo fundipopote.co.tz au tupigie simu +255685470336 Haribu… instagram.com/p/B-R2uNqBSFf/…
1
3
Mafundi wetu kazini wakifanya juhudi za kuinua na kutoa tofali za ukuta uliodondoka. Una shida ya fundi wa nyumba au ujenzi usipate shida Fundi popote ni suluhisho kwako tembelea tovuti yetu leo… instagram.com/p/B-PIcBRhM3_/…
2
Kuhakikishia kwamba mafundi wetu ni waaminifu na wa uhakika,mmoja ya mteja wetu akitoa shukrani kwa huduma zetu #haributukutengenezee Je unahitaji fundi?? *Fundi Garden* *Fundi umeme* *Fundi AC* *Fundi… instagram.com/p/B9_RfroBrfh/…
1
#NewProfilePic2020 represents our new logo meaning wherever you are we are with you . . #PICHA mpya ya profile ikitambulisha logo yetu mpya ikimaanisha popote ulipo tupo #haributukutengenezee
1
3
Kama hatutokua makini tunaweza pata ugonjwa huu, tunawe mikono na tuepuke kushika sehemu za uso kama vile pua, macho na mdomo #Covid_19 #StaySafeStayHome
1
3