11 retweeted
Wanangu @intelligencefx hawachezi wameweka pesa kweli hizo podcast wanafanya 🙌🏽🙌🏽 levels za Dunia
11 retweeted
Mtu anakwambia "All you need is Discipline, Patience and Consistency" na anatrade bila Stoploss😁
Candle zikicheza kidogo tu, Account imeungua.
Hiyo Discipline inayozungumziwa hapo ni ipi? Au kuto ku Overtrade??
11 retweeted
As i Promised, this week nitawawekea video za namna hii week nzima (Consistently)
Ukipata nafasi ya kutizama utaongeza kitu.
Its #Monday with Blue..
11 retweeted
Sahii ntakuwa nawawekea Video za namna hii... Every week.
Haziko more detailed, lakini they can be helpful.
Hii ni ya Jumatano..
11 retweeted
Irani ameifunga strait of Hormuz, Ghuba iliyokuwa ikitumika kupitisha Meli za Usambazaji wa Mafuta. Ametishia kupiga kiberiti meli yoyote itakayo kaidi na kupita eneo hilo.
%20 ya mafuta yanayosambazwa Duniani kote yanapitia Ghuba ya Hormuz. Kufungwa kwa Ghuba hiyo kulikosababishwa na Mvutano wa kisiasa baina Ya Irani na Marekani + Israel kumesababisha kupungua kwa uzalishaji na Usambazaji wa Mafuta.
Hii kwangu nimeiona kama Fursa ijapokuwa SISHABIKII WALA SIUNGI MKONO MAVITA VITA, nimechagua kubadili tatizo kuwa Fursa.
Matokeo ya huo mgogoro na athari zake inapelekea bei ya mafuta Ku-Pump, so nimejaribu kufungua Hii pair ya USOIL kwa mara ya kwanza na Kutafuta Opportunities za Ku-BUY! kutokana na imani ya kupanda kwa bei ya mafuta inayosababishwa na uhitaji mkubwa na usambazwaji mdogo.
IT PRINTED.
11 retweeted
Sijui ndo nazeeka ila nimekuja kushtukia hakuna Utajiri mkubwa kama AFYA.
Yaani mwanangu kama umezaliwa hunaga shida ndogo wala kubwa za Kiasfya shukuru zana Mungu aisee!
11 retweeted
⧩ Laptops basic kali Dubai: 380k
Usafiri:50k
Misc:20k
Total inv: 450k
Utaiuza: 500-600k
Faida: 50-150k
➮ Ili UUZE: At least uwe trusted kwa social media ndo uchawi ulipo.
Komaa uuze walau 5-10 kila mwezi Ukiwa kwenye Ajira yako bado (au ghetto)
➮ VIPENGELE: rare sana kwa PC.
11 retweeted
Moja ya faida ya kutrade pair Moja ni kuwa, inakufanya uielewe movement na tabia zake kiundani. Kujua kuwa ina behave namna gani na kwa mazingira gani. Hii itakusaidia kufanya adaptation ya mabadiliko yake haraka.
Technical ni ile ile HAIBADILIKI, ila tabia za Pair hubadilika kutokana na Mazingira.
So choose pair moja au chagua hata pair zako tatu au Mbili, stick nazo. TRUST ME, U'LL OBSERVE CHANGES.
BE THE FIRST VERSION OF YOURSELF...
11 retweeted
RANGE ROVER EVOQUE
✅️ Year: 2014
✅️ Reg No: EFF
✅️ Engine capacity: 2000cc
✅️ Petrol
✅️ Trans: AUTO
✨️ PRICE 34,800,000/=
Features ⬇️
➡️ Rim Sports
➡️ Navigation screen
➡️ Cruise control
➡️ Winker Mirror
➡️ New tyre
➡️ Parking Sensors
➡️ 360 Camera
0696221160
11 retweeted
INALENGESHWA
SPACIO NEW 🔥🔥
REG" #DQC
BEI - MIL 6.9
IPO DAR
WHATSAPP-0719542184
11 retweeted
HAYA #CONFIRMED
IST ZIPO KUANZIA MIL 5 HADI 11.5M
WAHI



































