MazaoHub (@mazaohub) header
MazaoHub (@mazaohub) profile picture

🥇Best Agritech in Africa 2025 | Localized Soil Analytics, Precise input recommendation and data driven daily farm guide SaaS for smallholder farmers.

East , Africa | Austin, USA
Joined February 2022
Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)Photo by MazaoHub (@mazaohub)
#MazaoHub is an agri-tech AI Platform. Farmers can register their seasons and receive production estimates based on crop-specific input prices and tailored recommended agronomic practices for high-quality and scientifically abundant yields. #SmartFarming
3
8
38
5,597
MAONESHO YA DRONE ZA KILIMO YANAENDELEA MBUYUNI! BADO HAUJACHELEWA KUJIUNGA NASI! MazaoHub kwa kushirikiana na Global.Tech inakualika kwenye Roadshow ya Maonesho ya Drone za Kilimo. Jionee kwa vitendo jinsi teknolojia ya drone inavyoweza kurahisisha shughuli...
1
1
49
za kilimo na kuongeza ufanisi shambani. Ukumbi wa Kanisa la EAGT, Mbuyuni Leo, 23 Novemba 2026 3:00 Asb – 7:00 Mch Usikose! Karibu ujifunze na uone teknolojia hii kwa vitendo. +255 699 365 987 #MazaoHub #GlobalTech #DroneZaKilimo #KilimoChaKisasa #LimaKiakili
12
Rahisisha shughuli zako za kilimo kupitia MazaoHub AI, pata ushauri wa kilimo, hifadhi taarifa za mazao yako na agiza pembejeo kwa urahisi. Usibaki nyuma, pakua app ya MazaoHub kupitia Play Store na tuendelee kulima kiakili! +255 699 365 987 #MazaoHub #Kilimo #LimaKiakili
36
Tunamuenzi Mwalimu Julius Nyerere kwa mchango wake katika kujenga taifa na kusisitiza nafasi ya kilimo katika maendeleo ya Tanzania. #NyerereDay #MazaoHub #KilimoNiMaendeleo
37
Bei ya jana inaweza kukupotezea faida ya leo! Katika biashara ya mazao, taarifa sahihi za bei ni muhimu kufanya uamuzi sahihi. Ungana nasi LIVE ujifunze jinsi ya kutumia Live Market Price ya CropSupply.com kufuatilia bei za mazao na kuongeza ufanisi katika biashara yako
1
34
✓ Saa 11:00 – 12:00 Jioni ✓ Jiunge LIVE: meet.google.com/hew-kqcp-nii Usifanye biashara kwa kubahatisha fanya maamuzi kwa taarifa sahihi
50
Mkulima hastahili kuuziwa pembejeo kwa mazoea. Anahitaji pembejeo sahihi, kwa wakati sahihi na kulingana na mahitaji halisi ya shamba lake. Kupitia inputsupply.com, unapata ushauri wa kitaalamu na mapendekezo ya pembejeo yanayoendana na zao lako na hatua ya ukuaji.
1
26
Hii inakusaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kufanya maamuzi sahihi zaidi kwa shamba lako. Usinunue pembejeo kwa kubahatisha. Ingia ndani ya mfumo wa inputsupply.com upate ushauri sahihi na chagua pembejeo kwa usahihi.
1
6
Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja! Wiki hii tunawashukuru na kuwapongeza wateja wetu wote kwa kutuamini, kushirikiana nasi na kuendelea kukua pamoja nasi. Asanteni kwa kuchagua Mazao Hub. Huduma bora kwenu ni sehemu ya mafanikio yetu!
34
ILI ULIME VIZURI, LAZIMA UJUE UNATUMIA UDONGO WA AINA GANI. Kabla hujaweka mbegu, mbolea au kuwekeza mamilioni kwenye shamba, anza kwa kuujua udongo wako. Udongo unatofautiana kwenye rutuba, pH, unyevu na uwezo wa kushikilia virutubisho.
1
1
1
51
Ukijua hali ya udongo wako, unafanya maamuzi sahihi zaidi kuhusu zao, mbolea na namna ya kulitunza shamba. Tunatamani kila Mkulima afanikiwe, si kwa kulima kwa mazoea, bali kwa kutumia maarifa, taarifa sahihi na teknolojia. inputsupply.com
16
Mkulima anapopata taarifa kwa wakati, anapata nafasi ya kufanya vizuri zaidi. Jiunge nasi katika Mtandao wa Mabalozi wa Wakulima wa Mazao Hub. Twende kwa wakulima, tuwasikilize, tujifunze mahitaji yao na kuyafikisha pale yanapohitajika.
1
1
60
Kwa sababu kila mkulima anastahili kusikilizwa. Piga simu kujiunga na Mabalozi wa Wakulima wa Mazao Hub : 0794 263 981 / 0799 940 132
5
Unahitaji mazao kwa ajili ya biashara yako na hujui sehemu unayoweza kuyapata? Kesho kwenye webinar yetu utajifunza jinsi ya kutafuta mazao, kuona bidhaa zinazopatikana na kuweka oda moja kwa moja kupitia CropSupply.com ili kurahisisha shughuli zako za usambazaji.
1
42
🌱 Nyuma ya kila mkulima tunayemfikia, kuna timu inayofanya kazi kwa bidii. Leo, timu za Sales Center na Marketing zimepata hamasa ya kuendelea kujituma ili kuhakikisha wakulima wengi zaidi wanapata taarifa, ushauri na suluhisho sahihi za kilimo.
1
2
1
52
Lengo letu ni moja: Kuwafikia wakulima wengi zaidi na kuwasaidia kufanya kilimo chenye tija. 💚 #MazaoHub #SmartFarming #TeamMazaoHub #KilimoChenyeTija
1
14
Tunataka kila mkulima ajue afya ya udongo wake, atumie pembejeo sahihi na afanye maamuzi sahihi yatakayomsaidia kuongeza tija huku akipunguza gharama zisizo za lazima kwenye kilimo. Kila mkulima anastahili kuwa na sababu ya kushukuru!
1
1
68
🌻 SIKU YA KESHO TU! Alizeti bora inaanza na maarifa sahihi! Unataka kuongeza tija na kupata mavuno bora ya alizeti? Jiunge na mafunzo yetu ya kesho ujifunze mbinu za kisasa za kilimo cha alizeti, kuanzia maandalizi ya shamba hadi utunzaji wa zao.
1
67
📅 Jumamosi, 19 Septemba 2026 ⏰ Saa 4:00 – 5:00 Asubuhi 📞 +255 699 365 987 Usikose kujifunza na kuuliza maswali! 🌱 #MazaoHub #KilimoChaAlizeti #KilimoKisasa #KilimoChenyeTija
29
🌍 Unawaza namna ya kufikia masoko mengi kwa urahisi? Kesho kwenye live webinar tutajifunza namna ya kutangaza bidhaa za mazao yako kwenye mfumo wa CropSupply.com, ili zionekane kwa wanunuzi na kufungua fursa mpya za masoko ndani na nje ya nchi.
1
1
42
📲 Jisajili hapa: calendar.app.google/1noyp2pk… 📅 16 Septemba 2026 ⏰ Saa 11:00 – 12:00 Jioni 🌐 CropSupply.com⁠� 📞 +255 794 236 876 #CropSupply #MazaoHub #BiasharaYaMazao #MasokoYaMazao
4
Katika mkutano ulioandaliwa na Mazao Hub kwa kushirikiana na Equity Bank, tumewakutanisha pamoja wadau muhimu wa biashara ya mazao ili kujenga mtandao mpana wa fursa, masoko na uwezeshaji wa kifedha. Mmoja wa washiriki alieleza:
1
1
51
«“Tanzania tuna bidhaa nzuri sana. Cropsupply ni kitu kizuri sana kwa mkulima, dalali, mnunuzi wa kati na exporter. Mfumo huu unatusaidia kukua kwa pamoja.”» Kwa upande wake kama exporter, Cropsupply inamrahisishia kupata wakulima kwa urahisi, kutengeneza uhusiano na wadau.....
1
10
🌾 Baada ya wakulima, sasa tunakwenda hatua nyingine — kuwawezesha wafanyabiashara wa mazao. Kama tulivyowaunganisha wakulima na wabia wetu wa kifedha kupata mikopo na kukuza uzalishaji, sasa kupitia CropSupply tunajenga njia hiyo hiyo kwa wafanyabiashara wa mazao.
1
22
Lengo ni moja: kuwapa uwezo wa kifedha wa kununua mazao zaidi, kukuza biashara zao na kufikia masoko makubwa zaidi. 🌐 CropSupply.com⁠� 📞 +255 794 236 876 #FursaSokoni #CropSupply #MazaoHub #BiasharaYaMazao #AgriculturalFinance
6
Katika mkutano ulioandaliwa na Mazao Hub kwa kushirikiana na Equity Bank, tumefurahi kuona mwitikio mkubwa wa wakulima wenye hamasa ya kujifunza na kufahamu zaidi kuhusu fursa za mikopo, huduma za kifedha pamoja na fursa za masoko.
1
47
Kupitia ushirikiano huu, tunalenga kuwafungua wakulima kwenye fursa zitakazowawezesha kukuza shughuli zao za kilimo, kupata masoko na kufikia mafanikio makubwa zaidi. Pamoja, tunaendelea kujenga kilimo chenye fursa na mafanikio! www cropsupply.com
8
Katika mkutano wetu wa leo, wakulima walipata nafasi ya moja kwa moja ya kuuliza maswali na kujadili mambo muhimu yanayogusa mustakabali wa kilimo na biashara ya mazao. Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni:
1
29
✓Fursa na upatikanaji wa mikopo ✓ Fursa za masoko ya mazao ✓ Jinsi ya kuunganishwa na buyers ✓ Fursa mbalimbali zilizopo kwenye kilimo ✓ Umuhimu wa kuwa na taarifa sahihi kabla ya kufanya maamuzi
1
10
🌾 FURSA SOKONI inakaribia! MazaoHub na Equity Bank tunakutana na wafanyabiashara wa mazao kuzungumzia masoko, biashara ya kidijitali na fursa za kifedha kupitia CropSupply.com
1
25
📅 11 Septemba 2026 📍 Ngorongoro Hall, Millennium Tower II, Dar es Salaam ⏰ Saa 4:00 Asubuhi – 8:00 Mchana 👉 Jisajili hapa: forms.gle/JJSf6wVVo7ynsDYVA Umejisajili? Usipange kukosa! 🌾 #FursaSokoni #MazaoHub #CropSupply #EquityBank #BiasharaYaMazao
9
Biashara ya mazao Tanzania inaingia hatua mpya. MazaoHub na Equity Bank wameungana kuwaleta wafanyabiashara wa mazao pamoja kupitia CropSupply, kujenga mfumo wa kisasa unaorahisisha na kukuza biashara ya mazao Tanzania. Mazao yaliyothibitishwa.
1
39
Taarifa za uzalishaji. Masoko yaliyopangwa. Miamala ya kidijitali. Fursa za mikopo kwa wafanyabiashara wa mazao. Kuanzia wakusanyaji na wasambazaji hadi wasindikaji na wauzaji nje — tunaunganisha biashara, data, masoko na mitaji ili kukuza biashara.
1
18