Dan retweeted
Hi 👋 @SomoinaKapeen, nani hao wanakukasirisha dia?
Dan retweeted
Usiwai chukua loan ufungue biz hata kidogo,kusurvive ni gumu ,unless ukue na biz stable uchukue loan uongeze stoke,maloan ni maswara
Dan retweeted
Yaani unaenda mazishi ya besthe yako kufika kwao mtaa unapata akizikwa nje ya gate na amejengea mamake mansion kwa boma why🤔
Dan retweeted
Mahali kenya imefika tunavaa kuona na contract ,imagin unao mtu ama unaolewa na mtu akiwa na 60kg within i year ama two yrs ako 120kgs why😂
Dan retweeted
A man with 40yrs can still find young woman to marry while a 30 year old woman will struggle to find a husband. They will dusturb Pastor Ezekiel and Radio jambo patanisho😅😅
connecting kenya 🇰🇪


















