
Official Account for E Digital | Representing E-FM Radio and TV-E Tanzania| #MuzikiUnaongea | #Tunavyoishi
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2014
- Tweets19K
- Following18
- Followers50.3K
- Likes1.5K
Kristo amefufuka! 🙏🏽✨
Waswahili wa Efm na Tve Tunakutakia Heri ya Sikukuu ya Pasaka wewe na wapendwa wako.
Na Pasaka hii iwe chanzo cha amani moyoni mwako, furaha isiyo na mipaka, na baraka tele katika kila hatua ya maisha yako. Tuinuke pamoja na tumng’ang’anie Mungu kwa iman.
10
407
Benki ya NMB na Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU) wamesaini ushirikiano wa kimkakati wa miaka mitatu unaolenga kuziba
pengo kati ya elimu na ajira nchini Tanzania.
1
3
250
Huu ni ushirikiano wa pande mbili unaojenga maarifa yenye tija.Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu wa NMB, Bw. Emmanuel Akonaay:
1
109
Benki ya NMB imetwaa tuzo tatu katika Tuzo za Euromoney Private Banking 2026 jijini London, ikishinda Benki Bora ya Huduma za Wateja Maalum Tanzania, Benki Salama Zaidi ya Huduma za Wateja Maalum na Benki Bora kwa Uendelevu Tanzania.




