John Heche (@HecheJohn) header
John Heche (@HecheJohn) profile picture

Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.

Tarime, Mara, Tanzania.
Joined April 2012
Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu.. Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!! Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga? Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!! Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
109
1,187
9
2,833
217,679
John Heche retweeted
FEDHA ZA MAENDELEO ZINAFIKA KWELI KWA WANANCHI AU ZINAPOTEA NJIANI?
6
16
499
Replying to @judiciarytz
@judiciarytz mmedhalilisha mahakama yetu
1
19
110
1,340
John Heche retweeted
Huyu jamaa ni porojo tu. Kwa miaka 19 sasa Mahakama inaongozwa na chawa wa CCM
MBEYA: Kauli hiyo imetolewa Novemba 20, 2026 na Jaji Mkuu, George Masaju, alipokuwa akifungua Kongamano la kuliombea Taifa. Fuatilia zaidi jamii.app/KutawaliwaNaWakolo… #JamiiForums #Demokrasia
3
7
46
785
John Heche retweeted
CJ Masaju wewe kama mkuu wa Mahakama, unapaswa kuwa sober! Kama Lissu kakata rufaa, na tayari unaonyesha KUKERWA na wakosoaji wa HUKUMU yake, je Uhuru wa Majaji wa Rufaa utakuaje katika kutoa maamuzi? CJ akishaanza kuwa Mwanasiasa basi naye hana tofauti na anaowaita wanaharakati
7
34
189
5,832
John Heche retweeted
Mtu kama MASAJU anatakiwa kujibiwa kwenye UPUMBAVU wake. Asante Makamu kwa kulisemea hili, lazima WAKOLONI WEUSI wakumbushwe hatupo zama za 90 kweusi. REPOST 200
16
257
1
1,020
22,520
Jaji mkuu Masaju Watanzania wa sasa sio wajinga. Hukumu ya haki haifanyiwi kampeini wala haihitaji utetezi wako, hukumu ya haki inajitetea yenyewe.
39
380
9
1,365
20,967
John Heche retweeted
BONGO ZOZO anaendelea kupiga panapouma🫵🏾 REPOST 200
14
347
1,499
19,901
Watu wanakosoa mwenendo na utendaji wa mahakama sio kuhukumu, watu wanajua utaratibu na wanajua nini ni haki! CJ aache kulalamika akae kwenye bench atende haki. Kalamu yake izungumze kuhusu haki sio mdomo kupiga kelele za amani huku anaona aibu kuizungumzia haki!
35
119
2
419
9,811
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba bbc.in/3WHkdkm
9
138
2
918
18,178
Hheeee kuna mtu uko insta anauliza kwa nini uko Zanzibar maridhaino yalifanywa kati ya ACT na CCM na siyo vyama vyote maana vina operate Zenj ana Tanganyika ? Kanifumbua macho kwa swali hili !
3
25
1
146
5,880
House Negro (ccm) wanafurahia mabaki ya majambazi wanaoteketeza Nchi.
17
183
7
770
16,944
May we not forget that Twaha Mwaipaya is still missing. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA
3
52
3
105
2,534
John Heche retweeted
Tenga dakika zako 9 MSIKILIZE BONGO ZOZO. Repost 200
45
672
7
2,769
92,201
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel……. KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi….. Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki….. Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania. Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano. Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
26
195
4
1,106
110,227
Kwenu ICC na ICJ Samia Suluhu na wenzie lazma wawajibishwe kwa damu hizi…… Nchi ya Tanzania haitokaa ipone wala itulie bila uwajibishwaji wa damu hizi…..
17
208
4
957
35,604
John Heche retweeted
Shida mnahisi bado tupo zama za MAWE. Vuta picha MPUMBAVU kama huyu ndio BABAAKO.
70
116
5
852
45,093
Today marks 24 days since Twaha Mwaipaya was abducted. Where is Twaha Mwaipaya? #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
1
55
4
101
3,188
The @TheChanzo wali cover hali ya angel tarehe 28 October. Alikuwa anaongea, mwenye faraja pamoja na maumivu, mwenye hope. Wiki 3 za Muhimbili, Marehemu. Maana yake ni bora angebaki nyumbani
VIDEO: MATUMAINI YA ANGEL WARIAELI KUFIKA MUHIMBILI YAGEUKA KUMBUKUMBU Video ikimuonyesha Angel Wariaeli akiwa na matumaini ya kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, kabla ya safari yake ya maisha kufikia mwisho akiwa hospitalini hapo.
6
62
222
7,587
Angel Wariael, binti aliyejeruhiwa kwa risasi Oktoba 29, afariki dunia Muhimbili bbc.in/3WJnHmp
14
95
4
571
10,511