Pinned Tweet
ALBUM YA #HAKUNAMATAATAA toka kwa Songa ni rasmi sasa imetoka leo (01-03-2025),na itapatikana kwa njia ya soft copy(whatsapp,email,telegram etc) kwa bei ya Tsh. 10,000/= tu . Ukishafanya malipo utatumiwa ALBUM hii muda huohuo. Namba ya malipo ni 0656337757.
SONGA retweeted
Replying to @makumbawaleo_5n @NiiteSonga
Songa story teller mzuri sana
Nimekula ngima sao sana hao wana
SONGA retweeted
Kule kuna mwamba anaitwa @NiiteSonga ngoma zake nmezisikia na wanangu toka O'level hadi kesho!
Midundo ya Duke, ngoma ya "Usiku" ilinitokea on my first time in Dar. 😂
Binafsi naona mwanamke anayevaa kiheshima na sio nguo zinazoweka sehemu kubwa ya mwili wake wazi ndiye anayevutia zaidi.
Polisi wanapotekeleza majukumu kwa kufuata maelekezo ya walio na vyeo na sio kwa kufuata sheria matokeo ni mwananchi kukosa haki.
Kwa kilichotokea jana kwenye World Cup inabidi timu za Africa ushangilie pale tu kipenga cha mwisho kikipulizwa.
Walio wengi wana urafiki na cheo chako. Wana urafiki na hadhi yako. Wana urafiki na umaarufu wako, na ukiwa mpumbavu unahisi wanakupenda.
Jana Arusha imepigwa Hip Hop Live Show matata sana na @ChabaThomas . Sijajutia kabisa kusafiri kuja kushuhudia tamasha la aina yake. Pongezi nyingi kwa @ChabaThomas na wote walioshiriki.
#HipHop
Niko Arusha mahususi kwa ajili uzinduzi wa Album ya CHABA utakaofanyika leo pale Alliance François d' Arusha (Ubalozi Wa Ufaransa). Tukutane hapo kuanzia saa moja usiku.
Replying to @NiiteSonga
Kipindi unaingia kupiga verse ya pili ya sauti ya Gheto , Proff Jay alikuwa anakuangalia na kujipiga kifuani anasema Yes watoto wangu hao hawajaniacha Alone. 🔥🔥. Alifarijika sana











