
Official Twitter account of Radio5tz |Follow us on Instagram @Radio5tz |
Arusha, Tanzania
Joined July 2016
- Tweets774
- Following185
- Followers376
- Likes246
Radio Five retweeted
#NIPASHE Hali tete vyuo vikuu baada ya bodi ya mikopo kutoa orodha ya wanafunzi 3,966 watakonufaika na mikopo kati ya 58,000 watakaojiunga
Radio Five retweeted
#NIPASHE Imeelezwa kwamba kuna changamoto nyingi kwa watoto wa wakulima wanaopata mikopo vyuoni, baadhi hutumia kuwasomesha wadogo zao.
Radio Five retweeted
#NIPASHE Wamiliki wa makontena 46 kati ya 100 yaliyodaiwa kuondolewa bandari ya DSM bila utaratibu, wamejisalimisha.
Radio Five retweeted
#MWANANCHI Kamati ya bunge yaikataa taarifa ya Waziri Mwijage kuhusu utekelezaji malengo ya sekta ya viwanda, biashara wakidai imejaa porojo
Radio Five retweeted
#HabariLEO Serikali imetoa bil 80 kwa ajili ya malipo ya mikopo kwa mwanafunzi wa elimu ya juu wanaoanza na wanaoendelea na masomo
Radio Five retweeted
#HabariLEO Meli mpya mbili za mizigo zinazoendelea kujengwa ktk bandari ya Itungi Kyela mkoani Mbeya kukamilika ifikapo mwisho wa mwezi huu
Radio Five retweeted
#MTANZANIA RC Gambo azomewa na wananchi wakati wa uzinduzi wa hospitali Arusha alipozungumzia mradi na kudaiwa kupotosha ukweli wa mradi huo










