
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2015
- Tweets30K
- Following40
- Followers2M
- Likes2.6K
Semaji Ahmed Ally kuelekea mchezo wa kesho. #NguvuMoja
Hussein Semfuko akielezea namna wachezaji wamejiandaa kuwakabili JKT Tanzania. #NguvuMoja
Kocha Barker akizungumzia maandalizi ya kikosi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tanzania. #NguvuMoja
Imebaki siku ☝️ burudani ya Mnyama kurudi. #NguvuMoja
Semaji Ahmed Ally akizungumzia maendeleo ya kikosi katiki wiki ya kalenda ya FIFA na maandalizi ya kurejea kwenye mashindano kuanzia wikiendi hii. #NguvuMoja




















