THRDCOALITION (@THRDCOALITION) header
THRDCOALITION (@THRDCOALITION) profile picture

Ensuring maximum Security & Protection for all Human Rights Defenders (HRDs) in the United Republic of Tanzania. (Tanzania Mainland and Zanzibar) since 2012.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2012
Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)Photo by THRDCOALITION (@THRDCOALITION)
ACHPR MEETING WITH H.E DR. SAMIA SULUHU HASSAN, MADAM PRESIDENT URT It was honor for THRDC to coordinate the meeting between The African Commission on Human and Peoples Rights (ACHPR) and the President of the United Republic of Tanzania @samia_suluhu_hassan @Hassan_shire @ACHPR
5
1
25
11,841
THRDCOALITION retweeted
The Dominican Republic, Brazil, and Australia urged #Tanzania to ensure the prompt, independent, and impartial investigation of all allegations of an excessive use of force by security forces #UPR53.
3
2
240
Ratification of this is very important, given the current situation of continuing disappearances of Tanzanians! #UPR53
Gambia, Lithuania, Malta, and France urged #Tanzania to ratify the International Convention for the Protection of All Persons from Enforced Disappearance #UPR53.
2
2
204
THRDCOALITION retweeted
In closing, #Tanzania thanked participating States for their constructive advice and expressed its belief that the UPR remains a valuable mechanism for encouraging and supporting States to meet their national, regional, and international human rights obligations #UPR53.
1
2
219
THRDCOALITION retweeted
Tanzania yatetea rikodi yake ya Haki za Binadamu Umoja wa Mataifa: Serikali yaeleza kuhusu matukio ya Oktoba 29, yasema ripoti ya Chande haikuwekwa wazi ili kulinda ushahidi.
35
21
8
141
13,899
TAARIFA KWA UMMA: TATHMINI YA MATUKIO YA OKTOBA 29, 2025 BAADA YA MWAKA MMOJA "UKWELI, UWAJIBIKAJI NA HAKI"
18
321
4
879
12,651
Asante timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania kwa umoja na mshikamano wenu na Tanzania, hasa katika kukumbuka wote waliopoteza maisha kipindi cha Octoba 29, 2025!
Leo, timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania ilikusanyika kwa ajili ya muda wa ukimya kukumbuka mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, ikiwakumbuka waathiriwa na wote waliopoteza maisha yao.
1
135
Leo, timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania ilikusanyika kwa ajili ya muda wa ukimya kukumbuka mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, ikiwakumbuka waathiriwa na wote waliopoteza maisha yao.
18
199
7
528
6,446
THRDCOALITION retweeted
Ni mwaka mmoja sasa tangu matukio ya Oktoba 29, 2025, simanzi ya familia zilizopoteza wapendwa wao bado iko hai. Kurejea kwa maisha ya kawaida kusiwe sababu ya kusahau hitaji la msingi la haki, ukweli na uwajibikaji. LHRC tutaendelea kusimama na waathirika wote. Hatubaki tu na majonzi, bali tunaendelea kupaza sauti kuwasha mshumaa wa haki, utawala wa sheria, na utu. #HakiZaBinadamu #RIP #TanzaniaMassacre
28
61
768
Uponyaji wa Taifa unataka kwanza tuwe wakweli! Ameshauri Sheikh Mgodo.
1
82
Where are my sister and mama? Where are they?
🤖 Made with AI
1
99
MWAKA MMOJA BAADA YA MATUKIO YA 29 OKTOBA 2025: TUKUMBUKE, TUTAFAKARI NA TUJENGE UPYA.
1
2
80
KUKUMBUKA, KUTAFAKARI NA KUJENGA UPYA! #Tanzania #October29
1
81
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAARIFA ZA KUPOTEA KWA MTANZANIA TWAHA MWAIPAYA NCHINI KENYA
37
16
9
34
24,100
WITO WA KITAIFA: TAREHE 29 OKTOBA KUTENGWA KUWA SIKU YA KITAIFA YA KUMBUKIZI YA MATUKIO NA WAHANGA WA 29 OKTOBA 2025 🕯️ KUMBUKIZI, UKWELI, HAKI, UWAJIBIKAJI NA UPONYAJI — KAMWE YASIJIRUDIE TENA.
2
1
2
204
Wafanyakazi 3 wa shirika la PWC Arusha wamekamatwa leo, kutuhumiwa kupanga maandamano yanayohusisha wabunge wa IPU. THRDC inatoa wito kwa Polisi kuzingatia haki na taratibu za kisheria, kuwaachia waliokamatwa bila masharti na kuhakikisha wanawasiliana na mawakili na familia zao
1
3
1,109
THRDC imeeleza msimamo na kutoa wito kuhusu taarifa za kuongezeka kwa matukio ya kukamatwa kiholela, utekaji, kutoweka kwa watu, mateso, kukaa muda mrefu kizuizini na vifo vinavyotokea wakati watu wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola. Soma tamko kamili thrdc.or.tz
🤖 Made with AI
111
TAARIFA Joseph Cosmas Maduka aliyekuwa anashikiliwa na jeshi la polisi Kituo Cha kati ameachiwa kwa dhamana ya polisi leo tarehe 25.09.2026. Joseph alikamatwa mnamo tarehe 14.09.2026 kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo.
1
1
175
Joseph amedhaminiwa na ndugu yake Faustine pamoja na wakili wa THRDC, wakili Jones Sendodo. Anatakiwa kuripoti tarehe 28.09.2026 kwakuwa upelelezi wa kesi yake bado unaendelea. Imetolewa na THRDC Leo tarehe 25.09.2026
50