A Very good Morning to you.Umeamkaje?Kama sio Bwana ni nani?#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio
Good Morning WanaSafari...Mpo?Kila.mwenye pumzi amsifu Bwana
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi! 🙏🏽
Ungana na Amani Aila ndani ya Safari kuanzia 4:00am hadi 6:00am, tuanze siku tukiwa katika uwepo wa Bwana❤️
#SafariNaAmaniAila
#RadioZaidiYaRadio
A Very good morning to you.Umeamkaje?Tuanze Na Mungu
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Goodmorning,Tumpigie Bwana Shangwe
#ShangweNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha Shangwe eeeh...Shangwee aaaaa
Good Morning Team Shangwe...ni System ya Kukunja na kukunjua
Tuanze na Mungu tumalize na Mungu
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Hakuna atakayeweza kututenganisha na upendo wa Mungu❤️
Ungana na Amani Aila ndani ya Safari, kuanzia 4:00am hadi 6:00am, tuanze siku tukimtanguliza Mungu🌅
#SafariNaAmaniAila
#RadioZaidiYaRadio
Good Morning Wanasafari, ni system ya kukunja na kukunjua.Kuanza ni Mungu kumaliza ni Mungu
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Good Morning Team Safari...Amka tumtukuze Bwana.Tumtukuze kwakuwa hakika anastahili.
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Good Morning Wanasafari...Amkeni tuendelee kukaza mwendo #SafariNaAmaniAila #RadiozaidiyaRadio @radiomaisha
Good Morning Team Shangwe....Mpo?Rauka tumpigie Bwana Shangwe #ShangweNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
TUNE IN! Kuanzia 4:00am mpaka 6:00am, karibu ndani ya Safari na Amani Aila.
Tushirikiane katika maombi, neno na baraka, ili tumalize wiki strong kwa uwepo wa Mwenyezi Mungu.✨
#SafariNaAmaniAila
#RadioZaidiYaRadio
@radiomaisha
Good Morning Team Safari Je kanisa litajengwa na akina nani?
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Good Morning.Amkeni tumwabudu huyu Mungu mmoja,Mungu wa Abrahamu,Isaka na Yakobo
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha
Good Morning Wateule wapendwa?Amkeni tuombe,Tubishe,tutafute na tumwabudu Bwana
#SafariNaAmaniAila #RadioZaidiYaRadio @radiomaisha



















