Actionaid Tanzania (@ActionaidT) profile picture
Joined September 2023
Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)Photo by Actionaid Tanzania (@ActionaidT)
Actionaid Tanzania retweeted
Mhe. Simon Mayeka, Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, akitoa salamu kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya zote sita zilizoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama katika Mkoa wa Dodoma. #KilimoHimilivu | #CSAPII
5
9
257
Actionaid Tanzania retweeted
Ukuaji wa uchumi na kipato vikawe ni chachu kuhakikisha fursa ya uzalishaji na kuboresha masoko ya Mtama inaendelea hata baada ya Mradi kuhitimisha utekelezaji wake. Mtama, uhakika wa Chakula, kipato na lishe bora. - Dkt Nandonde (OWM) #KilimoHimilivu | #CSAPII | #Mtama
8
13
367
Actionaid Tanzania retweeted
Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi wa #CSAPII, Mkurugenzi Bavon amesema, "Mabadiliko yanaonekana wazi kwa wakulima ambao sasa wanatumia ujuzi na mbinu walizojifunza kuboresha uzalishaji, kipato na maisha yao". #KilimoHimilivu #Mtama
2
1
2
36
Actionaid Tanzania retweeted
#CSAPII imeweka mkazo katika kuwawezesha Wanawake kiuchumi kupitia ujumuishaji wa kifedha, vikundi vya kuweka na kukopa, mafunzo ya biashara na uongozi pamoja na upatikanaji wa mikopo ili waweze kujikimu na kuongeza kipato. #KilimoHimilivu #Mtama
3
4
16
Actionaid Tanzania retweeted
Tangu mwaka 2022, @WFP_Tanzania & @actionaidtz kwa kushirikiana na Serikali, sekta binafsi na kwa ufadhili wa @IrlEmbTanzania imekuwa ikitekeleza #CSAPII kwa lengo la kuibadilisha zao la #Mtama kutoka zao la kujikimu kuwa zao lenye tija na fursa kibiashara. #KilimoHimilivu
3
4
32
Actionaid Tanzania retweeted
Karibu kwenye Jukwaa la kukabidhi Awamu ya 2 ya Mradi wa kilimo kinachozingatia Mabadiliko ya Tabia nchi. #KilimoHimilivu kwa zao la #Mtama ambao umetekelezwa katika wilaya 6 za mkoa wa Dodoma chini ya @IrlEmbTanzania, @WFP_Tanzania na shirika la @ActionaidTz #CSAPII
1
12
13
297
Actionaid Tanzania retweeted
Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi (#CSAPII), unaolenga kuimarisha #KilimoHimilivu cha zao la #Mtama umetekelezwa katika Wilaya za Mpwapwa, Kondoa, Chamwino, Bahi, Kongwa na Dodoma, Mkoa wa Dodoma.
1
10
10
325
Actionaid Tanzania retweeted
Jukwaa la kukabidhi Awamu ya 2 ya Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi #CSAPII limewakutanisha wakulima, wadau wa kilimo cha #Mtama, Serikali, Asasi za Kiraia na Balozi, kwa ajili ya kuendeleza #KilimoHimilivu na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
1
7
9
424
Actionaid Tanzania retweeted
Mgeni Rasmi Khatib Kazungu, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Kinachozingatia Mabadiliko ya Tabianchi , akikagua kazi na shughuli zinazofanywa na wakulima na wanufaika wa mradi wa #KilimoHimilivu cha zao la #Mtama. #CSAPII
5
7
479
Actionaid Tanzania retweeted
Salaam za utambulisho na utangulizi zikitolewa na wawakilishi wa @ActionAidTanzania, @WFP_Tanzania na Ofisi ya Mkoa wa Dodoma katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama (#CSAPII). Cc: @IrlEmbTanzania
5
4
187
Actionaid Tanzania retweeted
Tangu mwaka 2022, @WFP_Tanzania kwa kushirikiana na Serikali, sekta binafsi na kwa ufadhili wa @IrlEmbTanzania imekuwa ikitekeleza #CSAPII kwa lengo la kuibadilisha zao la #Mtama kutoka zao la kujikimu kuwa zao lenye tija na fursa kibiashara. #KilimoHimilivu
1
2
2
29
Actionaid Tanzania retweeted
Cosmas Deogratius kutoka ActionAid Tanzania – Mkoa wa Dodoma, akiwasilisha mafanikio na utekelezaji wa Mradi wa Kilimo Himilivu cha Zao la Mtama, katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi. #KilimoHimilivu | #CSAPII
1
8
8
197
Actionaid Tanzania retweeted
Bi. Elizabeth Yohana, mkulima kutoka Kongwa, akieleza namna mafunzo na uwezeshaji kupitia @WFP_Tanzania na @ActionaidTz yalivyobadilisha maisha yake na kuongeza kipato kupitia kilimo cha mtama. Cc: @IrlEmbTanzania #KilimoHimilivu | #CSAPII
10
2
12
898
Actionaid Tanzania retweeted
"Mafunzo ya kilimo, elimu ya fedha na uwezeshaji vimenisaidia kuongeza kipato, kuboresha maisha ya familia yangu na kujenga matumaini mapya kupitia kilimo cha mtama." ~ Elizabeth Yohana, Mkulima na Mnufaika wa Mradi wa Kilimo Himilivu. #KilimoHimilivu | #CSAPII
Bi. Elizabeth Yohana, mkulima kutoka Kongwa, akieleza namna mafunzo na uwezeshaji kupitia @WFP_Tanzania na @ActionaidTz yalivyobadilisha maisha yake na kuongeza kipato kupitia kilimo cha mtama. Cc: @IrlEmbTanzania #KilimoHimilivu | #CSAPII
2
3
644
Actionaid Tanzania retweeted
Bavon Christopher Mkurugenzi wa @ActionaidTz ametoa shukrani kwa @WFP_Tanzania, @IrlEmbTanzania ,Serikali na sekta binafsi kwa ushirikiano na uwekezaji wao katika kuwawezesha wakulima kupitia mradi wa #KilimoHimilivu na kuwapatia Wakulima fursa za biashara. #CSAPII #Mtama
3
5
94
Actionaid Tanzania retweeted
Akizungumza katika hafla ya kuhitimisha utekelezaji wa mradi wa #KilimoHimilivu Mkurugenzi Bavon amesema, "mabadiliko yanaonekana wazi kwa wakulima ambao sasa wanatumia ujuzi na mbinu walizojifunza kuboresha uzalishaji, kipato na maisha yao". #KilimoHimilivu | #CSAPII #Mtama
7
12
366
Actionaid Tanzania retweeted
"Kupitia mradi huu, wakulima wamewezeshwa kuongeza uzalishaji na tija, kupata taarifa za masoko, kutumia teknolojia na mbinu za kilimo himilivu, pamoja na kuimarisha usalama wa chakula na kipato cha kaya." - Mkurugenzi Bavon Christopher #KilimoHimilivu | #CSAPII #Mtama
8
12
275