I like the part in his book when Will Smith asks his granma, “why is she happy all the time”. Her answer is quite profound and reminds me of my favorite surah Ibrahim 7 in the Quran “If you are grateful I will give you more…”
Inaugural session of the Global Education Summit #RewirEdSummit - “aiming to challenge innovation in education”.
Mkutano wa mwaka wa kisayansi wa huduma za afya ya uzazi, mtoto, vijana na lishe umeanza rasmi leo mpaka ijumaa ya tarehe 19 Novemba. Kauli mbiu “kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, watoto wachanga, watoto chini ya miaka mitano na vijana.”
Hakika ni furaha kubwa sana kuona akiapishwa na kupewa imani ya kupeperusha bendera yetu Korea Kusini. Mungu akutangulie na kila la kheri ndugu yangu. PS: mbebe Mshauri Mkuu kurahisisha maisha.
Nilifurani sana maana nilijua Wizara na nchi imepata mtumishi sahihi, hodari, mwingi wa maarifa, kiongozi na asiyepungukiwa na hekima na busara zakutosha atayekuwa na mchango mkubwa kwa taifa letu.
Mwaka 2006 tukiwa Chuo cha Diplomasia tuliomba kazi na @tonytogolani kuwa Afisa Mambo ya Nje, tulipofikisha maombi yetu Wizarani siku ya mwisho ya maombi, tuliambiwa tayari kuna maombi zaidi ya 2000 kwa nafasi nne tu. Mwenzangu alikuwa mmoja waliopata.
...it was rap that got my head in the right place, two songs especially: Jayz’s “My 1st Song” and Eminem’s “Lose Yourself” - @BarackObama #apromisedland
I met Pendo in one of Abbot Fund’s meetings. She was so impressive and had great energy. Hakika ni bahati mbaya sana kumpoteza wakati bado anahitajika sana. Lala salama Pendo.
Wakati tunakuwa miaka ya 80, Moja ya ndoto ni siku moja kuzungusha boli kama Maradona. Sikuwai kumuona akicheza mpaka luninga miaka ya 90. Lakini hadithi za mtaani hazikuwa mbali na uhalisia wa talanta yake. Moja ya hadithi ni “uwezo wake wa kupiga chenga goli mpaka goli” 💔 RIP




















