adilu azizi (@AdiluAziz) profile picture
Joined May 2014
Photo by adilu azizi (@AdiluAziz)Photo by adilu azizi (@AdiluAziz)
Replying to @ummymwalimu
Shida kubwa sio dawa bila cheti inayoleta usugu kwenye jamii yetu, hakuna pharm tech au ass, aliepo kwenye duka la dawa na amesajiliwa ambae hafahamu diagnosis ya ugonjwa. Vitu vingi vinavyoleta usugu hasa uku mtaani ●kuwepo na wahudumu wa afya wasio sahihi kwenye ku dispense dawa, wanafaham wapi drug interaction na hawajasomea ● Elimu ya dawa hawana wananchi, unakuta client amepewa dawa vizuri, ila akitumia akiona amepona anaacha anaweka kwaajili ya kumsaidia siku nyingine au kumpa ndugu, jamaa au rafiki mwenye shida kama yake ●matumizi ya dawa kwa wanyama na mifugo mingine ●gharama za matibabu kuwa kubwa, client ametoka hospital ametumia gharama kubwa, anakuja na hela pungufu, anataka dawa nusu akienda atarudi ila akiona dawa zimemsaidia hajamaliza dozi harudi. ●Kuuza dawa bila prescription japo sio sana hili napinga kama wanataaluma wa dawa wapo sehemu husika. Nini kifanyike kwa hayo maoni yangu ■Kikubwa ni elimu kwa wananchi, na watoa elimu ni wahudumu sahihi wa dawa na si vinginevyo, maana pharm tech na ass wapo wengi sana kila mkoa kila wilaya na kila kata, wapewe kazi. ■kuondoa wanataaluma wasio na fani ya dawa kutoa dawa ■Gharama za bima zipunguzwe ili kila mwananchi aweze kumudu ila waweze kununua dawa kama hazipo hospitalini full dozi.
6
2
23
1,711
FIKRA CHANYA SANA.
84
181
13
607
adilu azizi retweeted
Rwanda imepanga kuanza kutumia mbwa katika juhudi za kupambana na kudhibiti ugonjwa wa corona. Mbwa watano kutoka kikosi cha Polisi cha Rwanda waliofunzwa kunusa sasa watatumika kugundua virusi vya Corona. Mbwa hao wanaweza kugundua virusi vya Corona kwa usahihi sawa na maabara.
1
5
1
24