Zamani ilikuwepo IMANI, mababu wakaitumia na kufanikiwa. Ikaja DINI, wazazi ikawameza na kuwalemaza. Hivi sasa kuna WAFANYABIASHARA WA MUNGU, wamefunga bongo za watu wengi pingu.
We kama hujui kipi ukiamini ili ufanikiwe, basi utaaminishwa hadi ambavyo si vya muhimu sana.
“Na kama kuna siku utakumbuka jina langu, natamani ulikumbuke kama mtu aliyewahi kukupenda kwa dhati…
Hata kama haikuwa milele, ila nilifanya kwa uwezo wangu. Labda tu …. labda tu haikutosha kwako ….”
Broh! ..
Mwanamke havunji moyo wako. Moyo wako unauvunja mwenyewe kwa kumpa yeye umuhimu sana kuliko unavyojipa wewe.
#amanidimile
2
223
“Mwana mkaidi, ndie hukutana na ngariba mwenye makengeza wakati wa kutahiriwa”
Amani Dimile 🖊️
📕 LAITI NINGALIJUA
5
390
Mwanangu usiseme "dhambi ile siiwezi kuitenda kamwe", ila daima omba Mungu asikufikishe kwenye hali ambayo huna chaguo jingine zaidi ya kutenda dhambi.
📖 UNA NDOTO YA KUIKUMBUKA
#amanidimile
7
457
Mwanangu usiseme "dhambi ile siiwezi kuitenda kamwe", ila daima omba Mungu asikufikishe kwenye hali ambayo huna chaguo jingine zaidi ya kutenda dhambi.
#amanidimile
1
10
526
Baadhi ya watu huwa wanatumia fedha zao ili kutengeneza fedha zaidi, wengine huwa wanatumia fedha zao ili kuonekana wana fedha zaidi.
#amanidimile
7
333
Jina langu halikurudi kwenye mchujo wa awali wa ubunge. Hii haimaanishi mwisho wa safari, ila sehemu ya njia yenye mafunzo. Nimejifunza na bado nina moyo wa kutumikia watu kwa uadilifu na upendo.
Kwa wote mliokuwa nami kwa dua na matumaini ahsanteni. Safari bado inaendelea.
1
6
343
Haki hutumika pale ambapo pesa haina faida yoyote? Haki hutendwa kwenye uwanja ambao pesa haikufanya kazi.
Pale ambapo pesa hushindwa kuzungumza, haki huinua sauti.
#amanidimile
Rule no 5: Usimpatie/usimfanyie mpenzi wako kitu ambacho mkija kuachana kitakuuma sana.
#amanidimile
“Tatizo la kuwa Simba 🦁 mbugani ni kwamba hata ukiumwa hakuna mnyama atakaekuja kukujulia hali ..”
Kimantiki na kimaana ✅
#amanidimile
Baada ya sherehe, watu huondoka. Ukiwa vizuri kiuchumi marafiki na ndugu ni wengi kuja kula mafanikio yako, ila ukidondoka tu wote hupotea. WAHESHIMU SANA WALE WANAOBAKI NA WEWE BAADA YA SHEREHE KUISHA.
#amanidimile
2
9
564
Naona Dar es salaam, wadada wengi wanajinunulia pete. Pete haina thamani ya ndoa kabisa kwa sasa, mtu anaingia zake kariakoo anajinunulia na kujitwika kidoleni. Sasa sijui ni fashion, kujitabiria mema, urembo au ndio “no time to waste” 😂😂😂😂🙌🏼. #badohamjasema
1. LIABILITY WOMAN; She's expensive with no value. Always expecting you to pay, provide, and finance her lifestyle but brings nothing to the table.
2. ASSET WOMAN; She's supportive encourages your vision, pushes you to be better, and contributes to your goals.
2 over 1 🫵🏼
3
592
Kosa letu kubwa sisi wanaume, ni baada ya kufanikiwa na kutaka kula mafanikio yetu na wanawake wengine ambao hatukuwa nao wakati tunayatafuta.
#amanidimile
1
11
821
Na ikitokea kesho sitaamka tena, basi fahamu ya kwamba nilipambana sana uwe na maisha bora, huenda ni vile tu Mungu hakupenda ..
#amanidimile
Usione aibu kwa jinsi ulivyoanza maisha, kikubwa jitahidi usiwe pale pale ..
#amanidimile
"Ikitokea kesho hatutakuwa na mahusiano mazuri, basi tafadhali nakuomba utunze sana yale yote ambayo tuli share pamoja hapo awali .."
#amanidimile
Hatimae, tumepoteza mahusiano kwa kukaa kusubiriana kila mtu ndio awe wa kwanza kumtext mwenzie ..
#amanidimile











