
ALT Kutokana na tatizo la upungufu wa mafuta nchini, wakulima wanapaswa kuongwza uzalishaji wa mazao ya mafuta zikiwemo karanga. Ili kupata mavuno mengi na bora ya karanga wakulima wanatakiwa kuzingatia matumizi ya mbegu bora za karanga zenye mavuno mengi, zinazotoa mafuta kwa wingi na zinazokabiliana na magonjwa mbalimbali shambani. Kwa kukabiliana na matatizo hayo, kampuni ya mbegu ya RIETA inazalisha mbegu bora za karanga zenye mavuno mengi, zinazotoa mafuta kwa wingi na zinazokabiliana na magonjwa mbalimbali shambani. Tunawasihi wakulima wote kutumia mbegu bora za karanga ili waongeze uzalishaji wa zao hili tupunguze tatizo la uhaba wa mafuta ya kula nchini. Rieta AgroSciences Tanzania Limited ni Kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na usambazaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima. Dhamira ya Rieta ni kuwafanya wakulima waweze kutatua changamoto zinazowakabili kibunifu zaidi. Dhamira hii itawezekana kupitia utafiti, uzalishaji, uchakataji na usambazaji wa mbegu bora za mazao






























