AzamFC_DiT (@AzamfcDit) header
AzamFC_DiT (@AzamfcDit) profile picture

The official group for Azam Football club fans on DIT 💙🧡 #TimuBoraBidhaaBora #WahandisiImara

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
Photo by AzamFC_DiT (@AzamfcDit)
That was a thriller. Thank you Azam and Yanga! #LigiKuu
10
17
321
One Down .. kibabe zaidi 🔥🔥🔥 #LigiKuu
FULL TIME! @azamfc 2-1 Kagera Sugar Dube ⚽ Tepsie ⚽
2
kikosi kazi 🔥🔥🔥
Our official squad 2022-2023! Kikosi chetu cha ubingwa msimu mpya. 🔥 #weareazamfc #timuborabidhaabora
AzamFC_DiT retweeted
#FullFixtures Ratiba yetu kamili ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara (NBC Premier League) 2022/2023. Tunaenda kufungua ukurasa mpya! See you 🔜 our fans. 🫂 @Yusufbakhresa @AbdukarimAmin #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
6
33
3
287
AzamFC_DiT retweeted
Guess who is back?! Hatimaye amerejea dimbani! Welcome back stronger! Idd Seleman 'Nado' 🤝 #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
22
22
7
576
Our own 🇹🇿
⚡ M K A N D A R A S I ⚡ Mkandala 👀⚽ #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
AzamFC_DiT retweeted
#ReadyForPreSeason Makocha wetu wapya, wa makipa Dani Cadena na wa viungo Mikel Guillen, tayari wameshatua nchini usiku wa kuamkia leo Jumatatu. Makocha hao wametua wakitokea Hispania, tayari kuanza kazi rasmi kuelekea msimu mpya 2022-2023. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
7
10
1
203
AzamFC_DiT retweeted
#FungaKazi Tunaenda kufunga usajili kwa usajili mkubwa kesho Jumanne. Ni beki kisiki, kitasa cha nguvu akicheza moja ya mataifa makubwa na timu ya Taifa. Tukutane saa 6.00 mchana kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya timu yetu hii pendwa. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora
31
15
4
349