AziiL Azizy (@AziiLy) header
AziiL Azizy (@AziiLy) profile picture

Mwekezaji Mzawa.

Arusha, Tanzania
Joined June 2013
Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)Photo by AziiL Azizy (@AziiLy)
AziiL Azizy retweeted
Replying to @L_Crokin @julip202
Katika Sheria za dini ya Kiislam hairusiwi kuwaoa dada wawili pamoja. Kisheria si ruksa. Nenda katika surat Nnisai kaipitie utaona UHARAMU huo. Lakini,utaruhusiwa kumuoa dada ya mkeo au ndogo ake endapo mkeo atafariki na ukapendezwa na familia yao au kwa maslahi ya watoto walioachwa na mkeo. Maana kama utamuoa atawapenda wale watoto tofauti na kuleta mke mwingine kuja kuwalea. Ombi la mkeo ni kinyume na Sheria maana Mtume(s.a.w) anasema "Amelaaniwa mwanaume anayechanganya maji ya uzazi kwa ndugu wawili". Hapo inamaana hakuna ruhusa ya kuwaoa kwa wakati mmoja,lakini Qur'an imebainisha wazi kuwa ni haramu kuwaoa dada wawili pamoja.Labda kama ulimwacha kisheria au amefariki hapo inaruhusiwa kumuoa dada yake. USHAURI Kama mazingira ya huyo dada yake hayapo vizuri na wewe umejaaliwa wasaa wa rizki na pakulala,basi unaweza kumlea tu Hadi atakapopata wa kumuoa tena.Hilo kuliifanya ni swadaqa kwako na Allah atakulipa. Lkn usije shawishika ukazini naye,hapo utajichumia madhambi makubwa
38
86
1
339
18,043
AziiL Azizy retweeted
4 Days Left! Only 4 days remain to apply for the PEPFAR HIV Best Practices Awards. Showcase your innovative work in HIV prevention. Apply today! forms.gle/Kp5jj2DWbHjmyREB7 #THS2024 #PEPFARAwards – at Dodoma, Tanzania
6
10
557
Apply now through the link and Join us in the THS 2024, to honor the champions. #THS #THS2024 #Tanzaniahealthsummit #ths #THS
4
17
21
952
AziiL Azizy retweeted
umeme umefanya utetezi wangu kwa jinsi serikali inavoshughulikia kero za wananchi usimame..20 years na bado kuna mgao,hawa watu wana ubongo?
13
83
17
215
– at Dodoma, Tanzania
1
1
460
Tafadhali RETWEET Paris 4thKit Bei; 27,000 Size; S,M,L,XL,2XL 📍; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor) ☎️ ; 0715950110 🛵; Delivery Tunafanya
1
23
1
30
5,304
For The GREATEST OF ALL THE TIME @45MinStore MESSI 10 🙌🏽 Jezi = 27,000 Kila Herufi = 1,000 Kila Namba = 3,000
1
23
43
Senegal For Africans 🙌🏽 Jezi Zinapatikana Kwa 27,000 Size; S,M,L,XL,2XL Location; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor) Call/WhatsApp; 0715950110 Delivery Tunafanya
1
27
64
AziiL Azizy retweeted
"Mikakati yote haiwezekani bila kuishirikisha jamii lazima tushirikiane na wadau wote kuhakikisha mpango mkakati wa kutokomeza ukatili unatekelezwa kwa vitendo Nchini." Amoni Mpanju - Naibu Katibu Mkuu @maendeleoyajami. @WiLDAFTz #PingaUkatiliOkoaMaisha #16DaysOfActivism
4
7
AziiL Azizy retweeted
Bi. @AnnaKulayaMkurugenzi mtendaji wa @WiLDAFTz akitoa historia ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga Ukatili, ambayo inaadhimishwa leo Duniani kote. #PingaUkatiliOkoaMaisha #16DaysOfActivism
7
8
Sautika Nasi #SautikaNasi Sautika kidigitali #SautikaKidigitali Sautika sasa #SautikaSasa Pepea kidigitali #PepeaKidigitali
Jezi Kombe La Dunia 2022 = 27,000 Uholanzi Size; S,M,L,XL,2XL 📍; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor) ☎️ ; 0715950110 🛵; Delivery Tunafanya Tafadhali RETWEET
Tafadhali RETWEET Jezi Kombe La Dunia 2022 = 27,000 Mexico ugenini Size; S,M,L,XL,2XL Kuandika Jina, Kila Herufi = 1,000 Kila Namba = 3,000 📍; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor) ☎️ ; 0715950110 🛵; Delivery Tunafanya
1
10
10
Je,Nini maana ya Afya ya Akili? Matatizo gani husababishwa kutokana na ukosefu wa Afya njema kwenye akili? Je Nini ni pia matibabu ya Afya ya Akili? @MentalHealth_TZ wamekuandalia mdahalo utakao jibu maswali yote hayo kuanzia 1/10/2022. TGNP Mabibo karibu 🙏
6
7
AziiL Azizy retweeted
Weledi wa mwandishi wa Habari mwanamke unachagizwa na mafunzo endelevu kazini hasa ya teknolojia ya Habari,Hivyo wenye vyombo vya Habari waendelee kuwawezesha waandishi wanawake ili kuwajengea uwezo zaidi. @TAMWA_ #WomenInMediaTz
1
11
15
AziiL Azizy retweeted
Kutumia simu na Barabara kwa wakati Mmoja ni hatari sana barabarani iwe mtembea kwa miguu au unaendesha chombo cha moto Tafadhali Acha kutumia simu uwapo barabarani ili kupunguza Ajali Barabarani. #Ajalisasabasi
1
17
28
AziiL Azizy retweeted
Uwekezaji unaopaswa kufanyika ni pamoja na kukabiliana na tatizo la udumavu,kuwapa huduma bora za malezi ya awali na programu za elimu ambazo zitawawezesha kukua na kufikia ukuaji timilifu na hatimaye kuwa watu wazima wenye uwezo wakufanya kazi za uzalishaji mali.
7
13
AziiL Azizy retweeted
Ni wakati wa NGOs kujitathimini na kujiwekea mikakati endelevu ili iweze kusimama yenyewe kuliko kutegemea wawezeshaji kutoka nje pia ili iweze kufikia malengo yake. ~||Rosemary senyamule-Mhe. Mkuu wa mkoa Dodoma. #PJTMMMAMDODOMA.
9
23
AziiL Azizy retweeted
Leo tar 21 Sept 2022 Ofisi ya mkuu wa mkoa na mashirika yasiyo ya kiserikali wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mashirika yasiyokua ya kiserikali Pamoja na Kuzindua programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto- (PJT-MMMAM) Mkoa wa Dodoma.
12
12
AziiL Azizy retweeted
"Rushwa ni Adui wa haki hivyo tushirikiane kupambana nayo ili kuipata haki na kuisepesha Rushwa, ili iondoke katika Jamii yetu". Hamad Said Ndee~ Mratibu #SepeshaRushwaMarathon
11
16