BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011) header
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011) profile picture
Joined April 2012
Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)
Hivi Mapato ya Halmashauri sijui Manispaa yanaendaga wapi? Zile tozo za sokoni,parking mara sijui taka. Ilibidi bustani zote za barabarani ziwe maintained na halmashauri husika. Na ikikutwa bustani imefeli wawajibishwe..! Wajenge pia wastebin ๐Ÿšฎ kando ya barabara. Tunaweza
Wazee wa Location hapa ni wapi ๐Ÿ“
2
1
6
416
Airtel router zao ile wiki ya mwisho (Siku chache kabla kifurushi hakijaisha) internet inakuwa nzito kama uji wa gundi. Mixer kublink nyekundu kila saa. ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ Niondoke huku sasa
1
14
541
Property Management inahitaji hela ya kutosha. Jengo ambalo huwezi sikia Lift imezimikia katikati au kutaka kuhatarisha usalama wa watu ni TPA One Stop Center. PSSF mawasiliano pia sijawahi sikia case zake
Jengo la Rita Tower lina elevator nne katika hizo ni mbili zinafanya kazi na ni kwa muda mrefu sana. Hali hii inasababisha watu wengi kujazana kwenye lift zilizobaki, mind you jengo hili lina floor 20+ lakini hakuna anayeonekana kujali. #KaribuTanzania ๐Ÿค
92
Hawa walishanichania makochi mixer yakafika yamelegea kama Chekecha la mashineni. Picha linaanza makochi yalienda wrapped na nylon , yakafika yalikokuwa yanaenda Uchi huku yamejaa vumbi. Unafkiri sasa even they do Care ??๐Ÿ˜’๐Ÿšฎ message hawajibu
Kampuni za kusafirisha mizigo ni nzuri hadi siku ikukute ndio utatubu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mimi natubu na USIRI saivi ni zamu yangu
1
4
349
Sehemu zote ambazo nimewahi fanya kazi ,sijawahi kujisaidia haja kubwa Ofisini. I usually hold my shit till home.
This quoted post is unavailable.
2
1
6
395
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
Man to man: Normalize getting close to God even when you're doing well in life.
34
568
12
5,757
94,219
Kwakweli mtu na Profession yako kuaibishwa hivi ๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Yani Sijui kama nimgerudi tena kazini
6
41
8,038
Kweli watu wa Sherehe mnakaba ๐Ÿ˜‚! Inakuaje mtu unawekwa group la mchango wa Harusi ya Mwakani ,mara February sijui March. Mmejuaje mtu atakuwa hai huo muda, si msubiri hata mwaka uanze kwanza๐Ÿ˜’
3
14
631
Pitieni Comments
Kama utani Selcom Pesa jana na leo wamechuku 50,000 wanilipia subscription ya vitu sivielewi na nimedelete mastercard yao ๐Ÿšฎ
147
Unakuta mtu kaona mwenzi huko, kampenda ila akienda kusema tuu nyumbani kwao kuwa niliyemuona huko ni "Mmachame". anapigwa ban.โ˜ ๏ธ ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐ŸŒด Najua wenye hekima na tabia njema kule hawakosekani ila sasa ndio ishasemekana vile ndivyo walivyo
62
Kwa mimi ambaye tokea nazijua smartphone mpaka leo natumia Android. Nafikiria niwe na iPhone kama simu ya ziada kwa ajili ya Picha na posts za bidhaa. Naomba nieleweshwe Active na Non- active ndio kitu gani. ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ
From my experience with iPhones, I honestly recommend buying Non-Active. Anything else isn't worth it sellers just use the term 'Full Boxed' to impress customers. If you're on a budget, just buy a used iPhone that only has the Battery Message.
2
3
1,906
Hii ya Brother Lucas Kufariki imeniuma๐Ÿ’”.. Farewell Brother
Submitted my Dissertation, Graduated from University of Greenwich, UK. Lucas Massawe ( Bpharm , Msc Global Health).
2
18
2,389
Being Honest nachotaka kikamilike Haraka ni SGR ya Hadi Mwanza- Tabora- Kigoma. Morogoro Road kuwa Njia 6 hadi 8 Mandela Road kuwa njia 6
1
2
11
364
Hivi sikuhizi @spana_Konki hapigi spana tena, au ni mimi timeline yangu hazipiti. Nlitaka nimtagg kwenye vita
114
Sijui kama Bolt sikuhizi wanakagua vyombo vyao, ni mara ya pili hii nime request Pikipiki inakuja haina Side mirrors dereva hana helmet ya abiria. Ya leo ndio kiboko; Side mirrors hamna na wala Speedometer /dashboard haiwaki. Helmet hata usiulize
2
15
865
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
Read. Read. Read
99
208
10
2,075
63,454
Nimeenda Msamvu pale, kuingia ni Tsh 300 unapewa tiketi, nimefika pale kwenye kigeti maza anayezikusanya tiketi anataka aipokee ampe mtu mwingine alikuwa kasimama pembeni kule aingie nayo. No way nimeivuta nikaichana mbele yake. Kaishia kuniangalia na mimi nikasepa zangu ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ
8
10
102
8,356
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ retweeted
u can start again, like the sun does every morning
173
26,709
758
88,599
1,954,116
Zanzibar is running
Rais Mwinyi amesema Zanzibar inabomoa maghorofa ya zamani yakiwepo yale ya Michenzani, Kilimani na Kikwajuni yaliyojengwa kufuatia mapinduzi mwaka 1964, na badala yake watajenga majengo mapya, makubwa na ya kisasa zaidi kwa ajili ya watu wa Zanzibar.
2
169
Wakuu Mkate mkubwa umefika Tsh 4000/= Sina familia, ila wenye familia ambao mnahakikisha watoto wanakunywa kwanzia Chai asubuhi hadi cha usiku in a proper way, Mungu azidi kuwafanikisha, msikose hata siku moja. Kazi yenu ni kubwa
11
8
109
3,177