Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-#tbt
Happy TBT, Mungu akupe maisha marefi unapoheshimu wazazi wako
Kutoka 20:12
Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako
youtube.com/watch?v=arg0igCn…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Good Morning; ...Wafilipi 4:6... "Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu..."
youtube.com/watch?v=I6PfHL4P…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Good Morning; Utapata thawabu tu iwapo hautakata tamaa, ...Wagalatia 6:9... "Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa..."
youtube.com/watch?v=w3QJSJSf…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Mungu abariki kazi ya mikono yetu wiki hii
Zaburi 90:17
Na fadhili za BWANA, Mungu wetu, ziwe juu yetu, Na kazi ya mikono yetu uifanye thabiti, Naam, kazi ya mikono yetu uifanikishe
youtube.com/watch?v=bx1wnvva…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #HappyNewWeek
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Ni furahidei, na katika yote unayoyapitia, endelea kuomba na usikate tamaa; ...Luka 18:1... "Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa..."
youtube.com/watch?v=a7XOzvX_…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:- TBT
Uhakika nilio nao ndio huu; ...Wafilipi 1:6... "Basi, nina hakika kwamba Mungu aliyeanza kazi hii njema ndani yenu, ataiendeleza mpaka ikamilike katika siku ile ya Kristo Yesu..."
youtube.com/watch?v=buvGek4h…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo #tbt
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Kwako wewe uliyemdhania Mungu amechelewa
2 Petro 3:9
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani anakawia, bali huwavumilia, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie toba
youtube.com/watch?v=omEGvkUL…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Je ni hali ipi hiyo ambayo imekukosesha amani na hata kukosa usingizi? Usikate tamaa, ikabithi kwa Mungu maana ...Luka 1:37
kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu
youtube.com/watch?v=AIBybXOu…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Zaburi 23:5-6
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za ....
youtube.com/watch?v=1YZUt-xH…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #HappyNewWeek
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Ni furahidei; hakika msaada wa pekee ni Mungu ...Zaburi 46:1... "Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso..."
youtube.com/watch?v=eSeMoITT…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d @SirBucachi
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:- #tbt
Za asubuhi, ...2 Wathesalonike 3:16... "Bwana mwenyewe ambaye ndiye chanzo cha amani, awajalieni amani siku zote kwa kila namna. Bwana awe nanyi nyote..."
youtube.com/watch?v=PRAI05TR…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo #tbt @aa284eb4ba7a42d
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Hakika kwa Mungu yote yawezekana; ...Mathayo 19:26... "Yesu akawakazia macho, akawaambia, Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana..."
youtube.com/watch?v=ZmAmJMm8…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d @SirBucachi
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Licha ya unayoyapitia, usiogope
Isaya 41:10
Basi, usiogope, mimi nipo pamoja nawe. Usifadhaike, mimi ni Mungu wako. Nitakuimarisha na kukusaidia; nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi
youtube.com/watch?v=Y5Fqz8m-…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #HappyNewWeek
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Ni Furahidei ...Waefeso 6:2-3... “Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani...”
youtube.com/watch?v=a_7wB2PL…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:- #tbt
Happy TBT
Wakolosai 3:23-24
Lolote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo
youtube.com/watch?v=MWZmT-Z9…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo #tbt
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Utasimama tena, usikate tamaa ...Mika 7:8... "Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, BWANA atakuwa nuru kwangu..."
youtube.com/watch?v=_U44LzBg…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d @SirBucachi
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO
Usichoke kutenda wema
Zaburi37:3-4
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama. Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni
youtube.com/watch?v=09CaZXJJ…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Zaburi 56:3-4
Wakati ninaogopa, nitakutumaini wewe. Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini, sitaogopa. Mwanadamu mwenye kufa atanitenda nini?..."
youtube.com/watch?v=YWVSCqds…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo #HappyNewWeek
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:-
Utainuka tena, usikate tamaa; ...Mithali 24:16... "kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena; lakini waovu huangushwa chini na maafa..."
youtube.com/watch?v=8z_R82MO…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo @aa284eb4ba7a42d @SirBucachi
Biblia Husema 96.7fm retweeted
HOSSANA MACHEO:- #tbt
Usichoke kuomba kwani ndivyo Biblia inasema kwamba tuombe wakati wote ...Warumi 12:12... "Muwe na furaha katika tumaini lenu, na katika dhiki muwe na subira. Ombeni wakati wote.."
youtube.com/watch?v=GuoAQ0HD…
#Hossanamacheo @BHusema @VictoMandalaMC #Himizo #tbt




















