
Member of Parliament Morogoro Kusini Mashariki Constituency @diamondplatnumz Manager WCB WASAFI Founder of TIPTOP Connection #GodfatherTale
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2010
- Tweets3.4K
- Following358
- Followers51.8K
- Likes84
Tutaendelea kumsogeza Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wetu kipenzi karibu yenu kila wakati.
Kanga hizi hazitovesha miili yenu pekee, Bali na mioyo yenu iliyojaa shukran na upendo.
JAMBO LA MAMA NI JAMBO LETU.
Kuna tofauti kati ya mzazi mfadhili na mzazi mlezi, Mzazi mfadhali anatoa matumizi tu ila mzazi mlezi hukaa karibu na wanae na hujua kila hatua zao. Tujitahidi kuwa Wazazi walezi ili watoto wetu waweze kuja kutulea uzeeni, nasi tuone matunda yao. #godfathertale
Ndugu Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Ukubwa wa maarifa yako kwenye ujenzi wa Chama na Serikali inatosha kuona namna Mungu alivyotupa Kiongozi atakayetufikisha kwenye mafanikio kwa fahari kubwa.
Asante Mama.
Chama Cha Mapinduzi kimeweza kumudu kuimarisha na kuzitunza Imani za Wanachama wake Kwa miaka 45 bila kutetereka.
kimetekeleza Ilani kwa kasi na mafanikio makubwa.
Hongera Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.KAZI IENDELEE
7
MHE.SPIKA YUKO KWENYE SAFU.
Mheshimiwa Spika amejumuika kwenye safu ya tabaka la Kibunge.
Inaweza kuwa inashangaza lakini ndio ukweli kwamba, Mheshimiwa Tulia Ackson @TuliaAckson yuko miongoni Mwetu anafanya shughuli pamoja nasi.
Lipo somo kubwa, hapa, linahusu uvaaji koti.
1
16
Mwenyezi Mungu hupanga hatua ya kila Mwanadamu.
Zaidi ya kuwa umekuwa Spika wetu Kwa kuchaguliwa kwa 100%, kwa hakika UNASTAHILI.
HONGERA SANA MHE.TULIA AKSONI KWA KUPEWA DHAMANA YA KULIONGOZA BUNGE.
@TuliaAckson








