Lord kitchner🐐 retweeted
When I see someone has 49 likes I quickly make it 50 cause academically I understand.
Lord kitchner🐐 retweeted
Danger Danger Danger! Woi Woi Woi! Kama unajua unaishi maeneo ya Roysambu na kasarani na umeoa,Tafadhali kimbia nyumbani ukamate bibi yako,na msitoke nje ya hiyo nyumba mpaka monday. Manake nikiangalia naona tuko katika hali ya atari. Theres a Russian mzungu on TikTok who has hired an AirBnB in Roysambu and he is fishing your women vigorously
They are not even resisting buana. Anawasalimia alafu anawaambia lets go to my house and have coffee. And they just follow him like a brukenge. Ata hawaulizi jina yake aki. These are the same people who were protesting about anga femicide. Nikama akili inapotea wakiona msungu buana. Woi! Mungu ile maombi nilikuomba jana wachana nayo kwanza,shungulika na ya leo,nilindie bibi yehovah.
Juu unajua bibi ukishagongewa,huwa anaaanza kuona ukiwa mjinga. Hatawahi kuheshimu tena. This Russian Mercenary is not playing buana. Na habagui,anapita na Mama mboga,Wa kuuza sim card,watchman,Wale wa kutoka kanisa,wale wameenda carrefor,wale wameenda salon. Tunaesa adhirika vibaya sana
Khabusie!
























