Thank you to all our viewers, listeners, clients and partners for trusting us and choosing us every day. Happy Customer Service Week! 💚
#CustomerServiceWeek2026
Akizungumza kwenye Kongamano la Biashara kati ya Kenya na Urusi jijini Moscow, Rais Ruto amesema Kenya inahitaji mitaji na teknolojia mpya ili kukuza viwanda na kuongeza nafasi za ajira. #wimbilabahari
Jaji mkuu Martha Koome amewasili Mombasa kwa kikao maalumu kujadili matayarisho ya uchaguzi 2027. #wimbilabahari
Katika ombi hilo wanahaarakati wansema kuna hofu ya Mwaipaya kuhamishwa kwa lazima hadi Tanzania na kukabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu. #wimbilabahari
Wastaafu hao wanadai fedha zao zilielekezwa kwa serikali ya Tanzania baada ya kuvunjika kwa EAC. #wimbilabahari
Pia amesisitiza ODM bado ni chama imara na kitawania nyadhifa zote nchini. #wimbilabahari
Hata hivyo, amesema anaendelea kutekeleza majukumu yake na chama atakachotumia kitatajwa baadaye. #wimbilabahari
Godhana amesema anazindua muungano wa kisiasa hivi karibuni ili kufafanua zaidi mipango yake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. #wimbilabahari
Mradi huo unalenga kuhifadhi urithi wa Waswahili na kuimarisha juhudi za uhifadhi wa historia na utamaduni wa Kenya. #wimbilabahari
Familia zimeanza kusafirisha miili kwenda Mombasa kwa maandalizi ya mazishi. #wimbilabahari
Mwanaharakati Francis Awino, aliwasilisha kesi mahakamni akidai muda wa Nahodha Ruto wa miaka mitatu, ulioanza Machi 10, 2023, ulimalizika Machi 9, 2026. #wimbilabahari
















