Tate !Gawaxab (@Barongo01) header
Tate !Gawaxab (@Barongo01) profile picture

I drink and I know things

Casterly Rock
Joined March 2014
Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)
“Everybody gonna respect the shooter but the one in front of the gun lives forever”
4
50
188
5,867
Heartbreaking 💔
Hadi watoto, malaika wa Mungu na wajawazito na vichanga tumboni walipigwa risasi na Samia Suluhu October 29 2025……..
24
Tate !Gawaxab retweeted
Today, we remember the terror, chaos, and stench of blood that befell this nation 365 days ago It should serve as a reminder that, as a country, we aren't immune to anything To all the perpetrators who in any way participated in that massacre We bow our heads, but we won't forget
18
31
527
Tate !Gawaxab retweeted
X Familia tunaendelea kukuombea Clara🙏❤️Pumzika kwa Amani.
Au leo sio tarh 29..!!? Au saa 12 asubuhi bado..!? 🌚
51
283
5
818
8,337
Tate !Gawaxab retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia. Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama. Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki. Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa. Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo. Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo. Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe. Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni. 1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote. 2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela. 3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi. 4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia. 5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake. 6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu. 7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu. 8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini. Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo… Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii. Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa. Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote. Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
61
567
8
1,499
16,565
Tate !Gawaxab retweeted
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu. Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi. Zaidi jamii.app/RmbrncOctDths #JamiiForums
5
117
1
372
4,647
It’s heartbreaking that they’re still unwilling to have this conversation, still refusing to confront the truth and acknowledge that what they did was nothing short of inhuman🙌🙌🙌
20
196
12
473
8,792
Tate !Gawaxab retweeted
Wakati sherehe za mashujaa wao zikipikwa na kuchochea, Ndivyo hadithi za mashujaa wangu zilizikwa na kupotea 29.10.2025 💔❤️‍🩹
48
396
4
1,247
16,658
Dainess mdogo wangu walikupiga risasi tabata na mwili wako haukuonekana tukafanya ibada ya picha kanisani 😞 baadae mwili ukapatikana kitunda ukiwa umeharibika sana na kubadilika Ni mwaka sasa tunakukumbuka sana ni ngumu kusamehe na kusahau 🙏🏻
48
325
9
1,040
12,739
Tate !Gawaxab retweeted
Statement from the British High Commission, Dar es Salaam
25
202
11
476
10,361
Tate !Gawaxab retweeted
29/Oct/2025 Hatutosahau my brother Masanga. Mwenyezi MUNGU akupunguzie adhabu ya kifo.🕊️🕊️
39
277
11
712
31,668
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
159
824
37
1,991
40,322
Tate !Gawaxab retweeted
Mwaka jana siku kama ya leo baba mkubwa angu ambae ni mchungaji alipigwa risasi ya mbavu akiwa kwenye gari yake akielekea kanisani #October29
2
15
39
372
The maneuverability of this beast is just mind blowing 🤯
In a historic military milestone Ethiopia has become the first Sub-Saharan nation to induct advanced Russian Su-35 fighter jets into its air force.
4
10
625
Kwa ndugu zetu, rafiki zetu waliopoteza maisha October 29, 2025, endelea kupumzika salama. The justice may be delayed but never denied🕊️🙏🏽❤️
29
38
437
URAAAAAA
My 2026: 1. InteRussia Fellowship for Sub-Saharan African Journalists - Moscow, Russia 🇷🇺 2. International Festival of Youth 2026 - Yekaterinburg, Russia 🇷🇺 3. International Elections Expert - 2026 State Duma Elections, Omsk Oblast, Russia 🇷🇺 4. 8th Southern Africa Youth Forum (SAYoF 2026) - Johannesburg, South Africa 🇿🇦 5. Global Digital Forum 2026 - Moscow, Russia 🇷🇺 6. XIX Verona Eurasian Economic Forum - Istanbul, Türkiye 🇹🇷 7. Selected as a Yamolod International Education Team Member - Yamal, Russia 🇷🇺 8.Infra for Africa Forum and Africa50 General Shareholders Meeting 2026 - Tanzania 🇹🇿 9. Next Stop: African Youth in Politics Forum (AYPF 2026) - Ethiopia 🇪🇹 Grateful for the opportunities to engage, learn, and contribute across borders. The journey continues Bi Idhnillah.
1
465
I saw the video, she’s in big trouble
Angelique Yaya Munique has deleted her Facebook account. She is One of the suspects involved in the robbery of an e-hailing driver in Eldorado Park Police, please act quickly. The woman lives in Eldorado Park. You have the pictures and names, so what are you waiting for?
4
2
2
1,543
Anapiga kiswahili safi kuliko ndugu zangu waha wa Kakonko😂
Le libérateur de tout le peuple congolais !
16
9
2
131
14,794
Why are they calling the game off??
1
5
651
Mwamba yuko Gaborone pale…🙌🏾
1
5
1,115