kijana mpole retweeted
Hivi humu hamnaga wanawake weupe kila siku weusi tu kama tuko motoni?
Inakata sana ✍️✍️✍️
Though wewe ni vitu vyangu🫴🤝✍️
Kuku mmoja unanunuliwa kwa6500:
- Vipande viwili × 5,000 = Tsh 10,000
- Firigisi = Tsh 1,000
- Miguu = Tsh 1,000
- Kichwa = Tsh 1,000
Jumla = Tsh 13,000.
Kuku mmoja 6,500!
Sasa tuseme anauza kuku 10 kwa siku: 6,500 × 10 = Tsh 65,000
- Kwa mwezi: 65,000 × 30 = Tsh 1,950,000
😎😎😎
kijana mpole retweeted
IFIKE hatua mliooa na mnakaa nyumba za kupanga zilizojaa masela single muwe makini.
Unaruhusu vipi mkeo awe na utani na masela (wapangaji) tena ambao hawajaoa na wapo huru sana kumtania, kufurahi nae kuchekeana mbaya zaidi wanamletea chakula kabisa awapikie.
Au hamuogopi?.
kijana mpole retweeted
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29.
TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
kijana mpole retweeted
Watanzania, JOHARI asie na degree ya sheria alikuwa serious kuhusu mimi kurudishwa TZ.
kijana mpole retweeted
#TajiriLaKihaya
Nimjinga tu atakae furahia Timu yake ya TAIFA … ikipigwa!
Nigeria na Kenya Hawaipendi serikali yao… ila hio Haiwazuiii kuipenda Timu yao ya Taifa…
Na huo ndio UZALENDO wa kweli…
TAIFA STARS inabidi tuishangilie kwa Wivu mkubwa saaana💯
kijana mpole retweeted
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya…….
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
kijana mpole retweeted
Kimenukaaaaaaaaa…… Naingia kulala, nikiamka napeleka watoto shule alafu nawashushia video saa 3 usiku muda wa TZ…..
Issue ni dipu kuliko…..:::
kijana mpole retweeted
#TajiriLaKihaya
VIJANA OENI …
Maisha ya ndoa matamu saana- Ukioa Rafiki yako tena mkiwa bado wadogo mnajitafuta wote! Growing together increases Love 💯 na Hamzeeki kabisaa🙌🏽
kijana mpole retweeted
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa.
Tusikubali Heche akawa demoralized.
Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa.
Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
kijana mpole retweeted
Jamaa kashika simu ya mke, amekuta anawasiliana na wanaume wanne na wote wanaichapa.
Alichomuuliza, kwanini unafanya haya, mwanamke alichojibu.
Huwa unajifanya unaenda kazini kumbe unakuwa kwa wanawake wako, halafu mwanamke kavu hajali.
Hilo kabila la Kondoa lisikie tu 😅.


















