#Ushoga ulikuwepo tangu enzi za #MtumePaulo 57-58 BK Leo ndio.
Kweli hakuna jipya chini ya jua. Sishangai @ChademaTz @TunduALissu @fatma_karume wakilifagilia.
31
#Kitimoto ni halali, biblia imeweka wazi chakula kisichoichafua roho Yako ni halali kabisa.
Wasababto tuelewane hapa.
1
21
#Hatimaye wale watu waliokuwa wametelekezwa kama watoto yatima wamepata mfadhili amewajengea #maghorofa wote wapo ndani, isipokuwa wamemakini maana #ghorofa hizo hazina msingi nyingi Zina gang tu, dhoruba kidogo tu inaweza kuwazamisha wote na majumba Yao @YoungAfricansSC
8
#It's time to make history. We must reach to #semi_Finals of @CAFCL
Come on @SimbaSCTanzania
#NguvuMoja
Ft 3:0
























