
Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects |+44 20 8638 6823 | [email protected] |London 🇬🇧
London, England
Joined September 2013
- Tweets58.2K
- Following7.5K
- Followers4.3K
- Likes6.2K
BlessingChess retweeted
TAARIFA,
ALIYEHARIBU MALI ZA MWAJIRI WAKE KIGAMBONI AKAMATWA HUKU ALIYEMSHAMBULIA ASKARI KARIAKOO NAYE AKIKAMATWA
BlessingChess retweeted
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema amepokea vitisho baada ya kutoa maoni yake Bungeni akipinga vitendo vya ushoga na usagaji.
Akizungumza leo, Novemba 6, 2026 nje ya viunga vya Bunge jijini Dodoma, Waitara amesema mmoja wa wabunge alimfuata na kumuuliza kwa nini anawashinikiza wabunge wengine kuunga mkono hoja hiyo, akidai baadhi ya ambao hawakusimama walikuwa wanajihusisha na vitendo hivyo.
Waitara amesema mtandao wa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo una nguvu na fedha nyingi, lakini amesisitiza kuwa hataogopa wala kurudi nyuma katika msimamo wake huku akitarajia Serikali kuchukua hatua zinazostahili.
#KitengeUpdates
BlessingChess retweeted
Mwananchi wa Kisesa mkoani Simiyu akieleza changamoto zake kwa Waziri Mkuu wakati wa mkutano wa hadhara mkoani humo.
BlessingChess retweeted
Hey @grok why do most of men have this bone what is the purpose of this ??
BlessingChess retweeted
Mambo ni mawili;
1. Ulega arudi shambani kwake Mkuranga au
2. Aende Shule kwa Ras Simba magomeni mapipa!!
Unawaaibisha wana pwani😂!!
BlessingChess retweeted
Wakuu namtambulisha kwenu mtoto wa marehemu Lukuvi anaitwa BRENDA WILLAM LUKUVI ni mrembo mwenye akili sana Shule alizosoma alikua anaongoza kwa kupata Divisheni 1, Babake alivyofariki Wazee wa Kimila Isimani walimfuata agombee ili amalizie alipoishia Mzee wake, Binti akakataa ila binafsi namuomba ARUDI tena 2030.
BlessingChess retweeted
Nimetembelea Ubalozi wa Tanzania jijini Abu Dhabi, UAE, ambapo nimesaini kitabu cha wageni na kuzungumza na maafisa wa Ubalozi kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na uhusiano wa Tanzania na UAE. (1/2)
BlessingChess retweeted
Namshukuru sana Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Mhe. Nabii Mkuu Profesa GeorDavie, kwa mwaliko maalum wa kushiriki ibada leo na kwa kukubali kushirikiana nami katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia hapa Wilaya ya Arumeru, ambapo yeye pia ni mkazi.
#MaendeleoArumeru #EndGBVArumeru
BlessingChess retweeted
Je Wajua?
Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo (Iraq) wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi n.k
#ElimikaWikiendi
BlessingChess retweeted
Kama baada ya serikali haram kuwekeza mabilioni ya fedha na kushirikiana na ma influencer wa instagram wameshindwa kukusanya hata Watanzania elfu 5 siku ya leo basi naomba niseme hivi,
HONGERENI WATANZANIA, LEO MMETUTIA MOYO…..
BlessingChess retweeted
Replying to @Elisante333 @BlessingChess
Tishio lipo wapi hapo? Focus ni Arumeru.
BlessingChess retweeted
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema alijikuta akimwaga machozi wakati akitazama runinga na kushuhudia Mtanzania Jihan Dimack akivishwa taji la Miss Grand International 2026.
Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake Mkoani Mwanza, Makonda amesema aliguswa na tukio hilo, hususan wakati wimbo wa Taifa la Tanzania ukipigwa katika hafla ya kumvisha taji Jihan.
“Nilijikuta nalia nilipoona anavishwa taji huku wimbo wa Taifa ukipigwa, hakuiwakilisha Tanzania tu bali Afrika nzima,” amesema Makonda.
Aidha, Makonda amewataka Watanzania, hususan Vijana, kujitokeza kwa wingi kumpokea Jihan, anayetarajiwa kuwasili Nchini kesho, Oktoba 17, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam.
#MillardAyoUPDATES
BlessingChess retweeted
Homecoming Tanzania 🇹🇿 👑✨
Miss Grand International 2026
ขบวนแห่แบบใหม่แบบสับ แบบซาฟารี
เริ่ดนะ พาแฟนนางงามเข้าถึงความเป็นแอฟริกาทีสุด ก็ขี่ช้างขี่เสือเอางูพันคอไปเลยสิคะ
#MissGrandInternational
#MGI2026
#jihandimack


































