Boxer Tanzania (@BoxerTanzania) header
Boxer Tanzania (@BoxerTanzania) profile picture

Fuata kurasa yetu upate mamelekezo zaidi juu ya pikipiki za BOXER

Joined August 2019
Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)Photo by Boxer Tanzania (@BoxerTanzania)
A glimpse at yesterdays successful India Autoshow that took place at Diamond Jubilee. It was the first India Autoshow to take place in Tanzania and we hope to see more in the near future. METL was proud to be a main sponsor and we were delighted with the response.
1
1
Mtazamo wa maonyesho ya magari ya India lililofanyika jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Maonyeosho haya yalikuwa ya kwanza ya kufanyika Tanzania na tunatamani kuona zaidi katika siku zijazo. METL inafahari kuwa wafadhili wakuu na tumefurahia matokeo.
Shinda Boxer bure - hakikisha unafika Diamond Jubilee kesho (Desemba 2) upate nafasi ya kushinda.
METL is proud to be one of the main sponsors for the first India Autoshow that will take place at Diamond Jubilee on 2nd December. _ Metl ina fahari kuwa mmoja wa wafadhili wakuu wa maonyesho ya magari ya India, itachukuwa nafasi tarehe 2 Decemba katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
1
METL Is proud to be one of the main sponsors for the first India Autoshow that will take place at Diamond Jubilee on 2nd December. Karibu sana!
1
1
Metl ina fahari kuwa mmoja wa wafadhili wakuu wa maonyesho ya magari ya India ambayo itachukuwa nafasi tarehe 2 Decemba katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Karibuni Sana.
1
Umetufundisha uzalendo, uwajibikaji, uadilifu na uchapa kazi. Utaendelea kubaki mioyoni mwetu Dkt. John Pombe Magufuli, Daima tutakukumbuka. Pumzika kwa amani 🙏
2
UIMARA KATIKA MUONEKANO MPYA! Tunakuletea Boxer BM 150 ikiwa na muonekano mpya ulioboreshwa zaidi na ubora ukiwa maradufu! Jipatie yako leo! #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150 #Mpya
1
1
Je, kati ya BM 150 yaliyokuwepo na hii mpya, umeipenda gani zaidi? #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150
2
2
UIMARA KATIKA MUONEKANO MPYA! Tunakuletea Boxer BM 150 ikiwa na muonekano mpya ulioboreshwa zaidi na ubora ukiwa maradufu! Jipatie yako leo! #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150 #Mpya
3
1
1
BOXER 150 UG: Yenye nguvu zaidi iliyoboreshwa! Pikipiki imara yenye gia tani za kibabe! Unasubiri nini kununua yako? #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG
Chemsha Akili: Je kuna Boxer ngapi kwenye picha hii? #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG #Chemshabongo
1
Boxer 150 UG: Hatutembei na vidumu kamwe! Safari ndefu kwa mafuta kidogo! Safiri mwendo mrefu na Boxer! #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG
Safari na BOXER - tunajiandaa kushirikishana nanyi hadithi zenu! Kaa tayari endelea kufuatilia maelezo zaidi.
Boxer 150 UG: Je unatumia Boxer 150 UG? Ukiweka mafuta ya elfu 5 unatembea kilomita ngapi? #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG
1
Boxer 150 UG: Nunua pikipiki ya Boxer tukupatie matengenezo mara 3 bure ndani ya mwaka mmoja. HAKUNA KAMA BOXER! #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG
Tune in to our instagram live session on 09th September at 3pm to find out how you can start your very own profitable BODA BODA business with a BOXER motorbike! #Boxer #Bajaj #Livesession
1
Boxer 150 UG: Nunua pikipiki ya Boxer tukupatie matengenezo mara 3 bure ndani ya mwaka mmoja. PUMZIKA ONDOA MASHAKA! #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG
Boxer 150 UG: Tembea mwendo mrefu kusafirisha abiria au kutembelea ndugu jamaa au marafiki ukiwa na Boxer kwa mafuta kidogo tu! Boxer 150 UG ndio mpango mzima!! #Bajaj #Boxer #Tanzania #Boxer150UG
1