๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali) header
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali) profile picture

Editor, Ujasusi | Intelligence & Security Analysis โ€ข Former Tanzania Intelligence Officer | New Book: SAKATA LA NCHIMBI ๐Ÿ‘‡

Scotland
Joined February 2008
Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)Photo by ๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@Chahali)
"Iโ€™m an ex-spy... I donโ€™t pretend to be anything more than that." ~ Carrie
105
109
6
1,768
One year after Tanzaniaโ€™s October 29 massacres, Samia and CCM remain in power, but families still await justice. The Chande Commissionโ€™s full report remains unpublished, and questions about deaths, disappearances and security-force accountability persist. ift.tt/uHADqa1
1
1
134
Endeleeni kupumzika kwa amani mashujaa zaidi ya ELFU KUMI mliotolewa uhai na SAMIA SULUHU HASSAN ambaye inshallah ataungana nanyi soon ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ
1
8
12
282
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข retweeted
Africa has enough land and resources to grow much of the food we need, yet we still spend billions importing food from other countries. We need to invest more in our farmers, grow and process more food locally, and make it easier to trade food between African countries. This will create jobs, reduce our dependence on imports and help ensure our people have enough food at affordable prices. #FTAfrica2026 #FinancialTimes #MoAfrica
4
7
1
31
2,774
That this video isn't trending is beyond comprehension ๐Ÿค”
3
64
253
8,344
TBC take note... Na online TV ya Kipara wa chama cha Ubwabwa take note too.
5
1
49
4,059
God bless you our Kenyan brothers and sisters ๐Ÿ™
29
212
4,884
#TUJIKUMBUSHE: Moja ya operesheni za maharamia wa kitengo zilizofanikiwa mno ni hii ya habil and kabil. Na japo ameingia mitini, โ€œwatu wakeโ€ wanaendeleza alichoanzisha. Who are they? Thatโ€™s a story for another day ๐Ÿ˜Š
1
14
1,618
Dear Chadema, kwanini mna kasumba ya kuwasitiri wenzenu wanaowahujumu? Apparently kiongozi wenu mmoja ndio alimlengesha Pambalu arudi Tz kutoka ukimbizini Kenya, only for him kudakwa na akina Mafwele! Kwanini HAMUMTAJI ilhali mwamjua? ๐Ÿ˜ก
4
12
1
95
4,782
Ukiweka kando kwamba huyu jamaa aliwasaliti wanaharakati, ukweli mchungu ni kwamba HARAKATI ZIMEVAMIWA. #Jasusi anawafahamu most of hao mapandikizi kwa sababu katika ujasusi ni lazima kuwatambua maadui - both known and especially unknown. In fact, usalama wa Jasusi unategemea mno kuwatambua hawa maharamia. Hawa unknown enemies (maadui wasiojulikana) ni hatari zaidi. Unaweza kusema โ€œsasa kama unajua hao mapandikizi si uwataje tu?โ€ Ili iweje? Unazijua akili za Watanzania au unazisikia? Ni mara ngapi Jasusi alitahadharisha kuhusu Habil and Kabil akaishia kutukanwa? Halafu hawa watu si huwa wanaalika โ€œwataalamuโ€ mbalimbali kwenye mikutano yao? Unajua kwanini huwezi kusikia wakialika โ€œwataalamu wa intelijensia/usalamaโ€ kutoa elimu kuhusu suala zima la kujikinga? Sio kama Jasusi anamaindi kutoalikwa (ana audience ya kutosha, hahitaji kualikwa) lakini he feels sorry. Lives could have been saved endapo hawa vijana wangepatiwa some basic skills kuhusu jinsi ya kujilinda and what to do pindi wakibaini maisha yao yapo hatarini. Enewei, pole kwa familia ya huyo kijana aliyeuawa kinyama. May his soul rest in eternal peace. Amen
4
10
164
30,366
Katika miaka yake 70 ameshawahi kuona Rais aliyeua wananchi wake zaidi ya ELFU KUMI? Viongozi wa dini wanaoukumbatia utawala wa kishetani wa SAMIA ni ENABLERS (wawezeshaji) wa UTEKAJI, UF*RAJI, UTESAJI na UUAJI unaofanywa na shetani huyo. Hawa ni MAADUI dhidi ya Watanganyika ๐Ÿ˜ก
6
9
68
8,618