C H E P E (@Chepezi) header
C H E P E (@Chepezi) profile picture

Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.

Duniani
Joined January 2016
Sababu kubwa ya mtu kutapeliwa ni kutaka mafanikio makubwa ya haraka kwa jitihada ndogo na hafifu.
85
133
7
723
Nilipokuwa mtoto nilitamani kuwa: 1. Mwanasheria. 2. Mwalimu. 3. Polisi / Mwanajeshi. ALHAMDULILLAH nimekosa vyote!
4
166
Mtumishi wa ummah kama hufanyi shughlii za ujasiliamali bado upo kibaruani, ukistaafu ujasiriamali hutouweza, saana utatapeliwa kwa dili feki.😂
2
184
Msimamo au ufahamu kwanza?
1
143
Kuna sehemu nilikosea.
90
Buhongwa jamu sio la kitoto.
2
130
Tetemeko.
3
224
Hapo kale UJINGA ULIKUWA MZIGO lakini sasa UJINGA NI GHARAMA.
179
Ni ngumu sana kutoboa kwa dili za hapa mtandaoni. Watoa dili wengi wao wana roho za korosho.
134
Ukiwahi kujitambua kati ya umri wa miaka 20 - 30 unatoboa maisha kiwepesi. Kinyume chake ni vyepesi kuwa mzigo kwa familia.
1
165
Nifunge siku imeisha nashukuru ilibadilika.
2
163
Biashara ya mavazi vijana wanataka kupendeza sio uimara.
160
Jua la kiangazi hili.
3
154
Jtano huwa ni siku ngumu kibiashara.
3
2
10
317
Sergio Ramos on Jude Bellingham's decision to appear in a Calvin Klein Advertisement yupo sawa sana.
1
178
Maisha ya kisubiri kupata ajira ni magumu sana.
1
2
248
Hangaika na Swalah na Kazi.
3
161
Kutumwa kunaumiza sana.
3
142
Watu wa matamanio wanavaa kanzu na vibalaghashia mbele za kamera na kuzumgumzia matamio yao (siasa na utawala) huku wakijificha kwenye Uislamu. HAKIKA UISLAMU UPO MBALI NA HAYO.
2
225
Hawa watoto waliokuwa kwa kunyonyo maziwa ya ng'ombe sababu mama zao wapo kazini, ni waharibifu wa maadilo haswa.
2
207
Mbape kasoma historia ya Wakoloni akamiini anajua mambo.😂
1
110