Chezalive (@Chezalive) header
Chezalive (@Chezalive) profile picture

All About Football....#Michezolive || Events || Memory || Transfer News|| Makala Za Michezo👇🏼

Joined December 2019
Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)Photo by Chezalive (@Chezalive)
"Moussa Sidi Yaya Dembélé" zaidi Ya Kiungo Uswahilini wakawa wanamuita Dembele Makonga moja ya zawadi ambayo haikudumu sana kwenye macho ya watu What a Gift, What a Talent angezaliwa kule Amerika Kusini mitaa ya Fuerte Apache Argentina au Sao Vicente Brazil basi tungesema hii
27
71
2
815
95,760
Chezalive retweeted
KUNA XAVI HERNANDEZ MMOJA DUNIANI. 🌎 ✍Bado nawaza Akili Na uwezo wa Kufikiri Wa Xavi Hernandez , Upekee wake ambao Umeanzia katika Jina Lake kwasababu ni Nadra sana kukutana na Majina Yanaanzia na X , Hapa Ndipo Upekee wake Unapoanzia, Xavi ni Unique na one of a Kind.
9
31
201
22,781
Chezalive retweeted
WATU WAGUMU WATAPITA ILA NYAKATI NGUMU ZITADUMU MILELE. 🧵 Mfahamu "THE ROCK" NEMANJA VIDIC. Ulinzi Ni sanaa Ya Kifo Hivo ndivo naweza sema,Leo nipo hapa kwa ajili Ya Mlinzi mwamba na Ukuta Kuwahi Kucheza Soka Barani Ulaya Nemanja Matic. Alikuwa Na Roho Ya chuma , Jemedari
11
34
219
28,822
Chezalive retweeted
SAFARI YA KING DIDIER DROGBA. 🧵 Wakati Anaenda Port Bouet Airport Pale Abidjan Mwaka 1982 Alikuwa na Miaka 5 Tu, wazazi wake Ilibidi Waandike Bango "Didier Drogba Meet Michael Goba In FRANCE" ilikuwa ni Safari Ya Matumani kwa Kijana alietoka katika Familia Ya Hali Duni Kwenda
27
77
2
659
81,309
Chezalive retweeted
STORI YA MESUT OZIL "MUUAJI MWENYE AIBU(The Shy Assasin) ✍Miaka Kadhaa Nyuma Wayne Rooney akiwa Manchester united aliwahi Kumsihi Sir Alex Ferguson Kuuleta Ubongo wa Ozil Pale Theatre of Dreams, Ozil alikuwa Ndoto Ya kila mshambuliaji kwenye soka. ✍Mesut alinusa Kila Hatua za Washambuliaji , Alijua Njia zao na mawazo Yao, Mwili wake Ulienda Taratibu ila akili Yake ili speed up zaidi Ya Binadamu wa kawaida, Alifanya Tuone mpira ni Rahisi sana.Extra passing skills,Ball Brain na accurate Decision vilifanya awe Bora zaidi. ✍Misimu Yake Mitatu Pale Real Madrid alicheza michezo 159 akiwa na assist 80 Nini cha zaidi Unahitaji Kutoka kwa Kiungo Mshambuliaji, alikiuwa Gifted na Talented , Ilikuwa zaidi Ya Furaha Kumuona akicheza, Mpira Ulimtii sana Mesut. ✍ Kuna Mesut Ozil Mmoja Tu Kwenye Ulimwengu wa Mpira, Ile Timu Ya Taifa Ya Ujerumani Yenye watu wa shoka Mesut Ozil alikuwa kama Catalyst , alikuwa analainisha Mpira na Kuupa Ladha na Utamu Kila Tukiangalia. ✍ Mesut Alibalikuwa Sana Na Alikua Na Vision kubwa sana macho yake yalikuwa yanaona mbali sana mfano wa Tai mwenye njaa kali kila pasi inayopigwa kwenye FINAL THIRD basi ilikua ni hatari kwa timu pinzani. ✍ Watapita Playmaker wengi sana kwenye ulimwengu wa burudani wa soka ila kuna baadhi ya wachezaji walijijengea PEPO yao moja ya hao basi ni MESUT OZIL "KING OF ASSIST " Bado Namtafuta Mesut Ozil Mwengine na Sijui Titampata Wapi..? Cc: @DenzoMaesTro with @Chezalive
5
29
111
9,123
Chezalive retweeted
"DIEGO FORLAN" 🏹 🧵 Diego Forlán Corazzo amezaliwa Mei 19, 1979 Montevideo Uruguay, mchezaji wa zamani aliyecheza klabu kazaa ikiwemo Manchester United, Villareal, Athletico Madrid, Inter Milan, hivi ni vilabu vya ulaya alivyo tumikia ila kacheza klabu nyingi sana Jumla
16
46
1
266
Chezalive retweeted
RICARDO IZECSON KAKA, CHURCHBOY NA NDOTO ZA KUITEKA DUNIA. Wakati anafika pale Marpesa Kila mtu alikuwa anamdharau na kumbeza ni Kocha Carlo Ancelotti Tu ndio alimuelewa Ricardo Kaka na Kumuamini,Wachezaji Wenzie walimdhihaki na kusema Amekuja Kufanya Uinjilisti na sio soka.
7
40
2
429
38,601
Chezalive retweeted
Claude Makelele Mwanajeshi Aliyesalitiwa Baada Ya kumaliza Vita. 🧵 Mnano Mwaka 1975 Congo Kinshasa alizaliwa moja Ya binadamu wagumu katika soka, Claude Makelele Sinda , Mitaa Inamtambua kama Makelele , Moja Kati Ya Viungo Bora kuwahi Kuubariki mchezo Wa Mpira wa mpira
19
71
2
836
106,150
Chezalive retweeted
✍️KADI NYEKUNDU 23 NA BADO WANASHIKA NAFASI YA 2 KWENYE REKODI. Mchezo wa dabi kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro umeingia kwenye historia Baada tutolewa kadi nyekundu 23 katika mechi moja.
2
12
18
818
✍️KADI NYEKUNDU 23 NA BADO WANASHIKA NAFASI YA 2 KWENYE REKODI. Mchezo wa dabi kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro umeingia kwenye historia Baada tutolewa kadi nyekundu 23 katika mechi moja.
2
12
18
818
Tukio hili hadi leo linakumbukwa kama moja ya matukio ya ajabu na ya kushangaza kuwahi kutokea kwenye uwanja wa mpira. Huku Amerika Mpira ni Zaidi ya vita, moja ya Rekodi nyengine Ambayo inaushi mpaka ni ya Alberto Bedoya mchezaji Mwenye kadi nyekundu nyingi, kadi Zaidi ya 40.
1
87
Huku kwetu Amerika Mpira ni Zaidi ya Vita.
67