Robbie Chome (@ChomeRobbie) header
Robbie Chome (@ChomeRobbie) profile picture

Radio Presenter/News Reporter/Sports Analyst/Loving Dad.

Nairobi, Kenya
Joined February 2016
Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)Photo by Robbie Chome (@ChomeRobbie)
Kilifi will, for the first time in history, have its first stadium under Governor Gideon Maitha Mung鈥檃ro鈥檚 leadership.
17
Huku Kilifi kwa Gavana @GideonMungaroM kumekucha salama, tayari kumaliza hustles za wiki. Nakuombea kwa mwenyezi Mungu jasho la mikono yako alibariki馃檹 Kilifi ni TUTAM!
1
37
And she鈥檚 now acting like the savior of our constituency. When we needed her most she was nowhere. @Honeyfarsafi just be honest with yourself first before coming to act like you鈥檙e God sent Angel! No one will be against what you advocate for but let it be based on FACTS.
Replying to @Honeyfarsafi
@Honeyfarsafi You are not being honest. I see you rattling the Malindi MP masking yourself as a savior for Malindi residents. On 23rd of July I reached out to you seeking for assistance regarding some arrests As you can see you and your fellow activist for pay did not respond.
1
1
84
Likoni 1 washerehekea ubingwa wa Dola Super Cup kaunti ya Mombasa baada ya kuichapa Likoni 2 magoli 7-6 kwenye fainali kupitia mikwaju ya matuta, mechi ikiisha sare ya 1-1 muda wa kawaida uwanjani Mwahima Grounds. @UngaWaDola #DolaSuperCup
1,870
Kuanzia saa tisa alasiri ya leo, pale Mwahima Grounds ni gozi kali la fainali. Jamaa za Likoni tupatane hiyo mida kwa mchuano huu mkali. @UngaWaDola
1,527
Nawatakieni nyote Jamhuri Day njema 馃嚢馃嚜. Mwenyezi Mungu azidi kutuajalia afya na uzima tele 馃げ Vile vile, kuwa mwepesi wa kuomba msamaha na kusamehe 馃檹 . #JamhuriDay2023
1
61
Je wajua kwamba mechi ya kwanza ya David De Gea alipojiunga na Manchester United ilikuwa dhidi ya Manchester City kwenye mchuano wa Community Shield?Vile vile,mechi yake ya mwisho na United ilikuwa dhidi ya hiyo hiyo City kwenye fainali ya FA.
33
Aliyekuwa mlindalango wa Manchester United Edwin Van De Sir amelezwa Hospitalini baada ya kuanza kuvuja damu katika ubongo wake. Kulingana na taarifa iliyotolewa na klabu anayoitumikia sasa Ajax Amsterdam, Hali ya mdachi huyo inazidi kuimarika. Afueni ya haraka Edwin!
42
Jurrien Timber amekamilisha vipimo vyake vya afya na Arsenal,kila kitu kimeenda shwari,kilichobaki sasa ni washika bunduki wamtangaze rasmi kwani tayari ada yake ya uhamisho iliafikiwa baina ya klabu husika.
2
47
Daktari mkubwa wa wachezaji klabuni Arsenal Gary O鈥橠riscoll anaondoka klabuni hapo na kujiunga na kambi ya Manchester United. O鈥橠riscoll mwenye umri wa miaka 52,alijiunga na Arsenal mwaka wa 2009 na alikuwa karibu kujiunga na Liverpool mwaka wa 2020 lakini... Trafford.
1
67
Arsenal ikamshawishi kubaki,hata hivyo,safari hii anaenda kutoa huduma zake Old
9
Mauricio Pochetinno anadai kwamba kwa sasa ni kocha bora zaidi ya alivyokuwa Tottenham Hotspurs. Aidha ameongeza kwamba,endapo utakabidhiwa mikoba ya kuifunza Chelsea na usishinde mataji,basi unajitakia balaa.
33
Huenda biashara za Arsenal kwenye dirisha hili la uhamisho hazijamalizika kwani sasa wako mbioni kutafuta saini ya mshambulizi Moussa Diaby anayekipiga na Bayer Leverkusen. Licha ya Newcastle United na Man United pia kudaiwa kumnyatia Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 23...
1
146
,Arsenal ndiyo inasemekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumtia kapuni huku klabu yake ikiitisha dau la pauni millioni 65.
12
Jinsi Kylian Mbappe alivyopokelewa na mashabiki alivyotua Nchini Cameroon, Nchi ambayo amezaliwa babake mzazi 馃嚚馃嚥
1
127
Manchester United itatoa uamuzi kuhusu hatma ya baadaye ya Mason Greenwood kabla ya msimu mpya kuanza mwezi Agosti. Hata hivyo,mshambulizi huyo atakosekana kwenye maandalizi ya msimu ujao wakati klabu ikiendelea na mchakato wake wa kutoa uamuzi.
83
Southampton imemuwekea bei ya pauni millioni 50 kiungo wao kinda Romeo Lavia. Lavia alijiunga na 'The Saints ' msimu uliopita tu kutoka Manchester City huku klabu za Arsenal,Chelsea na Liverpool zote zikiwa mbioni kutafuta sahihi yake.
1
1
1
211
Ikumbukwe kwamba, Manchester City itapata asilimia 20 ya pesa za mauzo ya mchezaji huyo kulingana na vipengee walivyoviweka kabla ya kumuuza msimu uliopita.
14
Naibu kocha wa Arsenal Steve Round ameamua kuachana na klabu hiyo. Round alijiunga na Arsenal Disemba mwaka wa 2019 wakati Arteta akiteuliwa kama kocha mkuu.
85
Marco Reus ametangaza kujiondoa kama nahodha wa Borussia Dortmund kuanzia msimu ujao. Reus aliteuliwa nahodha wa Dortmund mwaka wa 2018 baada ya Marcel Schmelzer naye kujiondoa kwenye wadhfa huo. Inaaminika huenda ukawa ni msimu wa mwisho kwa Reus huko Dortmund.
19
Klabu ya Fulham iko karibu kuafikiana na Willian kuhusu dili la kumuerefushia mkataba wake. Vijana hao wa Marco Silva wanaoupiga ugani Craven Cottage,wanataka kumtekerenya Mbrazil huyo kwa kumpa mshahara wa pauni laki moja kwa wiki,mara mbili zaidi ya aliokuwa anapokea awali.
1
77