annajojo retweeted
Mwanasiasa mashuhuri wa jimbo la BUGANA vijijini ajizolea kura 1, mpaka sasa bado wanajadili kama ni ya mkewe au ya mjumbe wa chama asiyejua kusoma. Taarifa zaidi akizinduka ICU. Tunausiwa tuwe watulivu na kujaribu kumtuliza Tabu Mtigita asimnyang’anye hii uniform aliyomuazima.







