Charity (@Consolataally) header
Charity (@Consolataally) profile picture

Hardworking,Bussiness woman. A woman after God’s own heart! 💍 Jesus is the rock of my life! ⚽️Manchester city•

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2014
Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)Photo by Charity (@Consolataally)
“No weapon formed against me shall prosper" Isaiah 54:17 …No weapon forged against Me will prevail, and I will refute every tongue that accuses me . This is the heritage of the servants of the LORD, and this is their vindication from me…
6
14
53
13,170
Chagua shule bora achana na bora shulee
Shule Zote Zimefungwa Na Ripoti Za Watoto Wenu Zimeshatoka Pia. Kama Una Mtoto Anasoma English Medium Alafu Matokeo Yake Yanasema Kashika Nafasi Ya Kwanza, Kabla Hujafurahia Sana Jaribu Kutafuta Namba Ya Mzazi Ambaye Ana Mtoto Anayesoma Na Mwanao Alafu Muulize Mtoto Wake 👇🏿⬇️
2
216
Wamuachie sasa mzee wa watu.
TUNDU LISSU : Waheshimiwa Majaji nina msiba mkubwa wa Mtu ambaye amenifanya Mimi kuwa Mwanasheria mkubwa na Mtu aliyenilea. Nilikua natumaini kwasababu sikupata nafasi ya kumuuguza, Mahakama utaona ukweli kwamba hii kesi hamna kitu iniache nikamzike Mzee ALUTE
3
778
Sahihii
Replying to @Consolataally
😂😂 nyie nyie tujidanganye tu wanawake tunahitaji security ambayo Iko kwenye ndoa zaidi sana kuliko chochote
2
606
Some people search their whole life for what I found in you…
8
648
Nikasikie 😂
Pale supesi Kuna mtu anataka kulia😂😂😂😂😂😂😂😂
1
1
361
Mmhhh hata wabibi hawapishwi?? Wajawazito jee?
Maisha yangu yote ya kuishi hapa duniani sijawahi kuona mwanamke anampisha mwanamke mwenzake kwenye siti. 🙌
1
2
654
Duuhh
Ukimsikiliza huyu dada, utagundua wanawake wengi sana wanaumizwa na mtoto kuitwa kwa jina la baba,.. na wanaamn hilo swala sio fair🤒.. hii Gender aisee.
1
1
559
Mimi nitamtegemea tuuu😂😂😂.. hela zangu ni zake na zake ni zangu.. ila suala la mahusiano mmoja tuu akubali kuwa chini ya mwingine vinginevyo 🙌🏼🙌🏼
Wanawake tukubali kuwa kama humpendi mtu usile kitu chake au usikubali kusomeshwa naye baadaye ukatae kuolewa. Tutafute pesa zetu pia tusiwe tegemezi, Kuna wengine wamesema tupunguze midomo na kuongea kama chiriku. Tupunguze matukio ya kuuana jamani 🥹
156
Alooo🙌🏼
Mwanamke mmoja kutoka Kenya anayeishi katika nchi za Ghuba aitwaye Susannah Muiti, amewaacha raia na mshangao mitandaoni baada ya kusimulia jinsi alivyodhani amepata kazi rahisi nchini Saudi Arabia. Mwajiri wake alimweleza kuwa wafanyakazi wengine wangeshughulikia kazi zote za nyumbani, huku yeye jukumu lake pekee likiwa kumlisha na kumuogesha mtoto aliyeitwa Turki. Alifurahi sana akidhani amepata kazi isiyo na usumbufu mwingi, hadi alipofika na kukutana na huyo “Turki” mwenyewe. Kumbe hakuwa mtoto wa binadamu! Alikuwa ni mnyama aitwaye Green Iguana anayefanana na mjusi mkubwa. Sasa, kazi yake ni kumuogesha, kumlisha, kulala naye kitanda kimoja na kusafisha uchafu wake kila anapojisaidia.
233
Gabby matukioo 😂
Kuna kipindi niliwahi weka status picha ya manzi na emoji ya kopa aisee. Baada ya kuweka status Wana wawili wakasema washapiga 😅. Nilitokwa na jasho jingi sana, kwa uthibitisho walinitumia hadi chatting. Nachoshukuru walimjaza namimi nilipiga. Huo ujinga sitakaa nirudie tena
1
1
6
393
Yaani ukiwaza imeangukaje angukaje daahh
1
1
5
1,077
😂
Mkiamua kudate humu na mkaweka mahusiano public humu hakikisheni mioyo yenu imejiandaa maana mwingine namuona kafocus na kupost dagaa huku jamaa yetu anatupostia malaya 🙂.
1
269
Unataka asimame au atoe mikono nje?? Ipo honi ikipigwa unajua ni salamu 🔥🔥🔥… enyewe mimi napenda muda wa kupungiana nipate ajali bure ya nini😂😂😂
Dereva hana salamu nyingine anayoweza kutumia mpaka apige honi?
1
1
1
263
Jamani waja maendeleo yote anayofanya bado mnamlaumu? Yule jamaa ni hatari wacha tuu asalishe mpaka saa 10 alipotoka ni mbali🔥
Mchungaji Maksai wa KKKT KIMARA KOROGWE anaikosea sana Liturgia na Ratiba ya kanisa la KKKT analeta sera za kilokole na kutokuheshimu ratiba na kalenda ya kanisa, ibada gani inaisha saa saba??
151
Duuhhh
#BREAKING : Saudi Arabia Executes Two Bangladeshi Nationals Over ‘Having Sex’ Inside Mecca Mosque Saudi Arabia has announced the execution of two Bangladeshi nationals convicted of committing what authorities described as a “sexual act” inside a mosque in the holy city of Mecca. In a statement issued on Wednesday, the Saudi Ministry of Interior identified the individuals as Nazrul Islam Abdul Basir and Siti Akhtar. According to the ministry, security authorities arrested the two following the incident. They were subsequently charged after an investigation and later executed, the statement said. #SaudiArabia #Mecca #Bangladesh #Sex
Readers added context they thought people might want to know
The video and photos attached do not depict the reported executions or the individuals involved; credible reports contain no such footage. khaleejtimes.com/world/gulf/sau… english.ajel.sa/saudi-arabia/9… x.com/TheHabibiPro/s…
252
Una matukio 😂😂😂😂hii nayo kaliii
Hivi mnajua uchungu wa kugombana na demu ambaye mlikua mnawasiliana kupitia simu ya mama yake akasahau kufuta meseji na umemtukana na mama yake akachukua hiyo simu 😅💔.
1
1
2
539
Mfano isiponyeesha itakuwaje?
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa amewataka Watanzania kuacha kubeza tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa hali ya hewa kuhusu mvua kubwa za El Niño, akisema baadhi ya Wananchi wamefikia hatua ya kuidai Serikali mvua hizo badala ya kuchukua tahadhari dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza. Akizungumza wakati wa ziara ya Makamu wa Rais mkoani Iringa, Kwagilwa amesema Serikali imekuwa ikitoa elimu na tahadhari katika mikoa 14, lakini baadhi ya Wananchi wamekuwa wakizichukulia taarifa hizo kama ahadi ya mvua zinazopaswa kunyesha. “Makamu wa Rais, baada ya kuwa tumezunguka mikoa yote 14 kutoa tahadhari hii, sasa hivi tukipita Watanzania wanatudai mvua ya El Niño,” amesema Kwagilwa. Aidha, amewataka wananchi kuendelea kufanya usafi wa mazingira, kuzibua mitaro na kuhakikisha njia za kupitisha maji hazizibwi na taka, ili kupunguza hatari ya mafuriko na madhara mengine yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa. #MillardAyoUPDATES
1
1
135
Ingekuwa nipo single ungekomaa 😂😂😂😂😂falaa wewe embu lala
Replying to @Consolataally
Naomba nawewe unishikishe adabu na ukubwa huu nilionao basi - nione kama masaai unaweza😅
1
1
5
468
Baada ya kushikishwa adabu😂😂
Replying to @Consolataally
Sasa nilikua na miaka 18 huoni kama nilikua bado mdogo na sikua na kitu cha kufanya zaidi ya Kuwaza mapenzi ila sasa 'I don't care' 😅
1
1
3
542