
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko. Cereals and Other Produce Regulatory Authority (#COPRA).
Tanzania
Joined December 2023
- Tweets245
- Following26
- Followers490
- Likes15
COPRA Tanzania retweeted
"We must deliberate on policy bottlenecks to staples export trade, explore viable solutions to advance our sector & establish harmonised approaches to facilitate food trade across borders.’’ remarked by @IreneMlola on behalf of Hon. Hussein Mohamed Bashe, Minister of Agriculture
COPRA Tanzania retweeted
EAGC in partnership with @TradeMarkAfrica, @AGRA_Africa has today kicked-off a 2-day Eastern & Southern Africa Public-Private Policy Dialogue & Grain Trade B2B Forum in Tanzania providing for a productive dialogue & collaboration among key stakeholders in staple foods value chain
COPRA Tanzania retweeted
Salaam Ndugu Zangu,
Jana tumefanya Mnada wa Kwanza wa Ufuta kwa kutumia mnada wa TMX(Soko la Bidhaa) ambao ni Mfumo wa wazi unaowezesha Wakulima kushuhudia wanunuzi wakishindana. Bei ya juu ya Ufuta ilifika 4850 na bei ya chini ilifika 4050. Ninafahamu safari hii si rahisi lakini Insha’allah tutafika tunapo kwenda. Nawashukuru wakulima na wafanyabiashara waliokubali kuanza safari ya mabadiliko lakini vile vile viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Songwe. Nafahamu tutakutana na changamoto nyingi lakini ndio safari imeanza, Mabadiliko na Mageuzi ya Soko na Uwazi ndio mwendo. Bei ya Wastani kwa kila mkulima ni 4540 TZS.
🎥 - Mkurugenzi wa COPRA, Irene Mlola.
#Agenda1030
COPRA Tanzania retweeted
Tanzania has made a remarkable stride achieving full compliance with international seed quality standards. This accomplishment places the nation among the top five African countries in this area, alongside South Africa, Morocco, Tunisia, and Kenya.
COPRA Tanzania retweeted
Waziri wa kilimo Mh. @HusseinBashe kupitia ukurasa wake wa X ametoa taarifa ya uzalishaji wa mahindi ambapo kwa mwaka 2022-23 uzalishaji umefikia tani milioni 8.1 huku mahitaji ya nchi ya mahindi ni tani milioni 6.
COPRA Tanzania retweeted
COPRA inaandaa mfumo wa usajili unaotarajiwa kutekelezwa katika mwaka ujao wa fedha wa Serikali, 2024/2025.
Kwa habari zaidi ya lini mfumo utafika kwenye maeneo yako, tafadhali wasiliana na [email protected]
This post is from a suspended account. Learn more
COPRA Tanzania retweeted
#HaliYaSukari
Mapema leo - Ikulu, Dar es Salaam kwenye mkutano na wahariri kutoka vyombo mbali mbali vya habari ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais @ikulumawasliano
COPRA Tanzania retweeted
A newly established COMESA- EAC Horticultural Accelerator (CEHA) targets $25 million for intra-regional trade value in fruits & vegetables and global exports to soar from $416 million to $950 million in 2031, offering a ray of hope to millions of farmers in the two economic blocs
COPRA Tanzania retweeted
A modern Research Centre IITA , kituo hichi ni cha kisasa cha kufanya utafiti na miaka michache ijayo tutakua na vituo vya aina hii kikanda ,Rehabilitation ya Mlingano inaendelea ,na karibuni tutakua na Horti tengeru tissue culture investment and Mar Bioscience Lab
Mdogo mdogo tunabadilisha kilimo nchini na tuifa litafika tunakotamani, tunapiga hatua katika Agenda 10/30 Inshallah.
COPRA Tanzania retweeted
Maabara ya kisasa ya tafiti za kilimo ya Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo ya Kilimo kwenye Ukanda wa Kitropiki (IITA) itakayotumika katika kufanya tafiti mbalimbali za mazao na mbegu, ili kuongeza tija katika sekta ya Kilimo hapa nchini.
COPRA Tanzania retweeted
IFAHAMU COPRA
MAMLAKA YA UDHIBITI WA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO.
CEREALS AND OTHER PRODUCE REGULATORY AUTHORITY. (COPRA)
#LishaTaifaLishaDunia


























