Hakuna watu hunishukishia kama hawa wenye nampiga follow yangu safi alafu bado naongezea kuguzia yeye recent tweets zake kama tano na bado juu ni kipovu hawezi ona hata follow back button iko wapi 🤧.
Unaingia ward unapata jamaa ya kmtc imehang sthethoscope kwa shingo na amefunga mask mpaka kwa forehead ukidhani ni a very important doctor kumbe ni nurse aid amekuja kukupima kilo🤣🤣