mwalimu wa diploma (@DizoFx) header
mwalimu wa diploma (@DizoFx) profile picture

ALIEN MTUPU. click the link for free gold signals

Tanzania
Joined July 2019
Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)Photo by mwalimu wa diploma (@DizoFx)
Mungu awasaidie watu wote kadri ya utaftaji wao Umaskini wa kukosa chakula ni mbaya sana Ee mwenyezi Mungu mjalie kila mtu angalau chakula tu
8
49
3,061
Maturity is all about responsibility not age
1
7
282
Kutoka elf1usd to elf4 usd Tunakimbiza forex
1
1
14
612
TUNAKIMBIZA FOREX
1
13
473
Mfumo umeaminisha watu kwamba ili ufanikiwa Unatakiwa ufanye kazi kwa mda mrefu Wakati ni ishue ambayo ni personal kwamba some one can just decide to be successful
2
13
405
How fast you’re running is purely dependent on what chases you
1
2
6
286
Kila mtu ana sema site yake kwakua trading view imeleta uwaki Ila nmepata site kali kuliko ata trading view inaitwa The free chart baba hii ni mwishoo Tupaa ma go charting tupa kule ma c trader tupa kila kitu Fungua free chart
8
12
67
3,134
Slogan yangu itabaki kua ipe ile Nitashangilia mafanikio ya wengine tu adi ifike zamu yangu Sina wivu ata kidogo 😁 Kama ipo ipo tu
2
14
463
Mpaka leo watu waliosoma shule za kata wanamatumaini ya kutoboa maisha na fanded account ya dola elf5 Shule za kata bwana low IQ
1
5
355
Live trading and signals group discount today Mentorship recorded video phase 1&3 discount today Table teaching from KAHAMA today +255688814812 whatsup
2
7
435
Kuna vitu kama trader utakuja kugundua unapoteza mda ilaa mda ukiwa ushaenda Swala la traders competion unapoteza mda Swala la funding account unapoteza mda Swala la copy trading unapoteza mda Swala la kusnipe unapoteza mda Swala la semina unapoteza mda 10 years exp
2
2
16
1,490
Alafu we mzee unazeeka vibaya 😂😂😂
1
1
8
488
Loti ndogo kabisa ya pipi tidaa Inafanya maajabu
1
2
11
545
We good with trendline
1
3
349
Trendline leo zimemwagaa pesaa za kutoshaa
1
4
389
Me najua sababu ambazo zinafanya traders wengi sana apa Tanzania awana helaa Sababu ni mmoja tu Wanasubiria mfumo Watu awajawai ku excute kazi ni ku analyse na kusubiria mifumo Badilikeni waku acheni ujinga
1
1
15
1,488
Wiki hii nmetamba sana na trendline Wiki ijayo ni zamu ya elloit waves 😁😁😁 Nataka niwaonyeshe tu kila strategy inafanya kazi tatizo ni wewe
1
14
524
Sababu zinafanya watu wengi sana waliokua wanaongoza darasani kua na maisha duni ni hii Wamezoea kusifiwa kwa kufanya vitu kwa usahihi, wengi wanapoteza mda kufikira njia sahihi ya kufanya kitu bila ku mess up Kwahyo talent bila solitude is the problem From real ezperince
2
8
493