Pinned Tweet
💦Maisha yanaihitaji Amani ya Moyo Siku zote,, Jitahidi uishi katika mfumo👇
Afya huleta Amani
Upendo huleta Amani
Heshima huleta Amani
Pesa huleta Amani
🎯Ongeza kingine kama chanzo Cha amani...
💦Dunia haina huzuni,haina huruma,ila ni katili sana kwa maskini,,
Fanya juu chini kuuepuka umaskini ukiwa na Afya Bora
💦 Kunywa maji Kwa afya ya Figo
🏃Kula karoti 🥕 kwa afya ya macho
🏃 Ndizi 🍌 kutoa stress ongeza energy ya mwili
🏃 Nanasi 🍍 kwa afya ya mfumo wa upumuaji
🏃Papai kupata choo kilaini zuia constipation
🏃Mayai 🥚 afya ya ubongo 🧠
🏃 MbogaMboga 🥦 🥗 ongeza kinga ya mwili
💦 Kwenye maisha ✍️
Unastahili mwili imara
Unastahili akili timamu
Unastahili mazingira rafiki
Unastahili watu sahihi
Unastahili mpenzi sahihi kujenga familia
Unastahili Elimu sahihi
Unastahili vyakula asili sahihi
Unastahili pesa kuishi sahihi
🗝️ Unastahili AFYA
💦 BADILI MFUMO WA MAISHA
💔Acha sukari
💔 Pombe Kali
💔 vyakula mafuta
💔 Ngono zembe
💔picha na video za Ngono
💔 PUNYETO
💔 Sigara vs madawa ya kulevya
❤️Focus na kazi inayokupa kula
❤️Kula vyakula asili
❤️ Fanya mazoezi
❤️ Kunywa maji💦
❤️Usipende onyesha HESHIMA ✊
💦Kila siku ni Nafasi MPYA ya Kufanya makubwa ikawa history,,usichoke kupambana maisha ni mchakato Kushinda ni Imani na Juhudi.
💦 VYAKULA VINAVYO BOOST KINGA YA MWILI👉
🎯kitunguu swaumu 🧄
🎯 Tangawizi 🫚
🎯 Broccoli🥦
🎯 Mayai🥚
🎯 Mbegu za maboga
🎯 Karoti🥕
🎯 Pilipili hoho🫑
🎯Uyoga 🍄
🎯 Parachichi 🥑
🎯Papai
🎯Machungwa🍊
Imarisha,, Kinga ya Mwili ndio wanajeshi wa ulizi nje na Ndani 😎
💦LEO
USIANGALIE VIDEO ZA NGONO
USIANGALIE VIDEO ZA NGONO
USIANGALIE VIDEO ZA NGONO
USIANGALIE VIDEO ZA NGONO
USIPIGE NYETO
USIPIGE NYETO
USIPIGE NYETO
USIPIGE NYETO
USIPIGE NYETO
TAFUTA DEMU KULA TUMIA KINGA🍆
💦Ishi Maisha Yako tengeneza maono unayoyataka na uyafuate,,
Kubaliana na kilicho nje ya uwezo wako na usikizingatie.
💦TUNZA AFYA
👉Kunywa maji ya kutosha
👉Fanya mazoezi
👉 Jifunze Kila siku unapopata nafasi
👉Kula vizuri virutubisho vyote asili
👉Fikiri Kabla ya kuanza siku mpya
👉Kuwa na kiwango Cha kufanya
👉Pata muda wa kupumzika- regain energy
👉Wekeza
👉Kuwa na nidhamu ya Pesa 🎯
💦 ANZA LEO NI SIKU MPYA.
👉kunywa maji mengi ✓afya ya Figo
👉Kula karoti 🥕✓afya macho
👉Nanasi 🍍✓afya mfumo wa upumuaji
👉tango 🥒✓afya ya kibofu cha mkojo
👉Ndizi 🍌✓free stress
👉 Parachichi 🥑✓afya ya ngozi
👉 Mayai 🥚✓afya ya ubongo 🧠
🎯Afya ni Ushindi 💪

