Dizo (@EddyWide) header
Dizo (@EddyWide) profile picture

Motivation only 📌

Joined March 2025
Photo by Dizo (@EddyWide)
Pinned Tweet
Never judge people by their past. People learn. People change.
1
3
7
200
Watu watakucheka ukiwa unaanza, halafu watakuita mwenye bahati ukifanikiwa.
3
13
148
Usikimbilie maisha ya starehe kabla hujajenga msingi wa kuyadumisha.
3
10
14
190
Usitumie pesa kuwavutia watu ambao hawatakuwa na wewe ukiishiwa.
1
4
6
144
Kuna vitu huwezi kuvipata kwa bahati. Lazima uvifanyie kazi kila siku.
1
4
11
236
Usikimbilie kuonekana umefanikiwa. Jenga maisha ambayo hayahitaji kujieleza.
2
13
31
533
Usimhukumu mtu kwa yaliyopita. Watu hujifunza, watu hubadilika.
3
15
308
Your past explains you. It does not have to define you.
2
4
152
Kuna siku utachoka hata kueleza umechoka. Utaamua tu kukaa kimya.
7
14
281
Pesa inaweza kukupa vitu vingi, lakini tabia ndiyo huamua watu watakukumbukaje.
9
20
595
Usimzoeshe mtoto kupata kila kitu bila kujifunza thamani ya juhudi.
1
3
5
172
Maisha hayahitaji uwe bora kuliko kila mtu; yanahitaji uwe bora kuliko ulivyokuwa jana.
3
17
75
1,445
Usimdharau mtu anayepambana kimya. Huenda kesho ukahitaji msaada wake.
11
39
760
Kama una wazazi bado wapo, usisubiri uwe na pesa nyingi ndipo uwafurahishe. Wakati mwingine simu tu na “Mama, unaendeleaje?” inatosha.
1
3
1
4
406
Wakati mwingine mtu hakukatai kukusaidia kwa sababu hakupendi. Huenda naye anahangaika tu kujisaidia.
3
7
26
549
Wakati mwingine Mungu hakukawii. Anakufundisha kuvumilia kabla hajakupa kile ulichokiomba. 🚶🏿‍♂️
2
5
11
486
Wakati mwingine unahitaji kuanza upya, sio kwa sababu umeshindwa, bali kwa sababu umejifunza.
3
7
49
1,316
Mnazaliwa zaidi ya watatu kwenye familia, lakini mmoja akipata shida ya 100K kila mtu anaanza kujifanya hana uwezo.
3
3
15
472
Watu wengi hawakuchukii kwa sababu umewakosea. Wanachukia kwa sababu maisha yako yameanza kwenda mbele kuliko yao.
3
13
40
969
Kuna watu wameacha ndoto zao si kwa sababu hawakuwa na uwezo, bali kwa sababu walilazimika kwanza kuokoa familia zao.
6
1
11
371