Upi uwajibikaji wa mtu moja moja kwa taifa hili maana naona wengi huishia kunyoosha vidole na kutoa lawama..
69
Mbona hamkuwaombea wa Mv Bukoba!? Mbona hamkuwaombea wa Mv Nyerere kule ukerewe. Mbona hamjaweka kumbukizi ya mauwaji ya Zanzibar aliyo Fanya mkapa!!?
39
Mwanamke akiondoka usimtafute.. muache dunia imfundishe. Na akirudi usimpokee. Na hakikisha unapata mzuri zaidi yake ..✊🏾
1
86
Wakati mwengine njia ya kuendelea kumpenda mtu ni kumwacha tu aende aendelee kufanya anayotaka yeye..
Mwanamke akiondoka usimtafute.. muache dunia imfundishe. Na akirudi usimpokee. Na hakikisha unapata mzuri zaidi yake ..✊🏾
1
402
Nawakumbusha tu kwamba wewe kama mchepuko huna uthaman kwa mume wa mtu. ni chombo cha starehe tu..🤗
105
Watanzania mnaoishi nchi za ulaya msijisahau sana mkafikili kwamba kuitukana serikali na rais ni sifa. Toeni hoja bila matusi mbona ujumbe utafika tu.
1
5
350

