Endeleeni kupambana mkiwa upinzani huku sisi tukiendelea kuwafanyia kazi Wakenya. Kwa sasa, tayari tumepanga kupunguza joto hapa Nairobi. Tayari tumeweka 7.1 billion kutengeleza AC kubwa. Na vile vile, wale Hakuna na ajenda wawache kutusumbua bwana. Hao watu wako chini bwana.