by_.essy retweeted
Utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Sura ya 44 utaanza rasmi Aprili 9, 2026.
by_.essy retweeted
𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐎𝐓𝐄 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐖𝐀𝐙𝐎
Serikali imetoa TZS trilioni 3.6 kugharamia mikopo ya elimu kwa miaka mitatu iliyopita.
by_.essy retweeted
📍 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato.
Tunaipa Dodoma hadhi ya Makao Makuu ya Nchi.
by_.essy retweeted
Tanzania's headline inflation eased to 3.2% in February 2026 — the lowest since July 2025.
This reflects controlled price growth and relative currency stability.
Rais Samia Suluhu amemuasili mtoto mchanga wa kike aliyetelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu, katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu.




















