Brayans (@Fa7936) profile picture

Mathayo 23:10 | Yanga🔰I Chelsea

Mwanza
Joined February 2025
Photo by Brayans (@Fa7936)Photo by Brayans (@Fa7936)Photo by Brayans (@Fa7936)Photo by Brayans (@Fa7936)Photo by Brayans (@Fa7936)Photo by Brayans (@Fa7936)
Brayans retweeted
“Be of good courage, And He shall strengthen your heart, All you who hope in the Lord.” Psalms 31:24
3
39
241
1,454
#Zaburi 63:1 "Nafsi yangu inakuonea kiu" Unaweza kumfundisha mtu kuomba, lakini huwezi kumpa njaa ya kuomba. Unaweza kumpeleka mtu kanisani, lakini huwezi kumlazimisha kumtamani Mungu. Wenye njaa ya Mungu hata wakienda Ibadani hawarudi vile walivyoingia
1
2
9
202
Brayans retweeted
Ukijua kuna ushindi unaopatikana kwa kuamua kukaa kimya utaacha kushiriki kila vita.
2
5
16
259
Baraka ya kwanza ni kuamka Salama, Ahsante Jehovah kwa siku nyingine tena 🙏🏻. Good morning to everybody.
21
30
36
299
God's grace saved us. 📖 Ephesians 2:5
13
1
152
904
Usitoe ili uonekane mwema, toa kwa sababu moyo wako umejifunza kuwa mwema.🚶‍♀️
14
88
411
9,102
“The Son of God, who loved me, and gave himself for me.” - Galatians 2:20
38
378
3
3,777
32,137
Brayans retweeted
‘...But from this day onward I will bless you.’ Haggai 2:19
8
84
636
4,102
You have heard: always keep Your commitments to the Lord. 📖 Matthew 5:33
2
15
109
1,103
Wisdom is better than weapons of war. Ecclesiastes 9:18
3
53
1
322
1,985
Waefeso 6:10 "Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake."
2
13
1
64
1,529
“Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. ” — Wafilipi 4:13 (Biblia Takatifu)
3
5
32
347
Brayans retweeted
Nguvu zako zinapaswa kuelekezwa kwenye kujenga maisha, kazi, biashara, familia na kutimiza malengo yako.
1
4
43
813
Kama una uelewa wa kwamba MUNGU humletea RIZIKI kila binadamu kwa wakati wake, basi huwezi kumwonea WIVU na KUMCHUKIA mtu yoyote kwa mafanikio yake.
7
36
79
908
Kuna vitu Mungu anakuchelewesha kuvipata kwa sababu anakutengeneza uwe tayari kuvipokea. ❤
4
3
37
537
Brayans retweeted
Before investing your money in something you don't understand, invest time in understanding it first. The promise of quick returns can be attractive, but financial ignorance can be very expensive.
2
13
22
439
Ndoa ikishaanza kukaliwa vikao, kutoboa huwa ni ngumu sana
19
24
2
353
19,182
Ila wamama wa kiafrica huwaga na majibu jmn, mtoto anamuuliza mama ake kama amelala, kajibiwa eti hajalala bali anafnya rehearsal ya kifo chake🙌
3
6
15
280
Brayans retweeted
Kama Daudi ndio angekuwa amekula tunda Edeni basi saivi tungekuwa bado tupo bustanini na bado tupo uchi. Jamaa alikuwa anajua kuomba msamaha, kusifu, kuabudu kwa maneno mazuri🙌🏻( All psalms)
1
5
15
338
Brayans retweeted
Never confuse being busy with making progress. You can spend an entire year doing many things and still be moving in the wrong direction.
6
22
1
32
635