Fredrick Max (@FredrickMax63) profile picture

Father,Husband, Brother , Friend , Banker & Tech Enthusiast.

Joined December 2021
Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)Photo by Fredrick Max (@FredrickMax63)
Omba msamaha mapema. Samehe mapema. Songa mbele mapema. Kuweka kinyongo kunajaza akili bure. Una mambo makubwa zaidi ya kuyafukuzia. 💯
9
131
3
623
8,641
Fredrick Max retweeted
Tabia zetu nikubwa kuliko mipango yetu, kabla ya kuweka mipango yetu kwanza tuchunge na kuchunguza tabia zetu, bila kufanya hivyo mipango yetu itaishia kuliwa na tabia zetu
1
34
187
6,609
Fredrick Max retweeted
If people can’t see you or relate with you for who you are, you are in trouble. Those can never be genuine relationships. Take pride in solitude and self respect.
7
41
3
169
5,332
Fredrick Max retweeted
Tabia ya kweli ya mtu huonekana katika namna anavyowatendea wale ambao hawawezi kumsaidia kwa chochote.
59
449
23
2,288
69,442
Fredrick Max retweeted
Another man's watch won't tell your time. Stay focused on your own journey. ~Unknown
1
29
1
152
3,232
Fredrick Max retweeted
Pay the taxes of life gladly. Not just from the government. Annoying people are a tax on being outside your house. Delays are a tax on travel. Haters are a tax on having a YouTube channel. There’s a tax on everything in life. You can whine. Or you can pay them gladly.
79
265
11
2,439
117,218
"Je wajua kuwa msafara wa Nyumbu kuhama kutoka Serengeti kwenda Masai Mara na kurudi hautokani na akili za Nyumbu bali ni muitikio wa asili kufuata harufu na uelekeo wa wingu la mvua? Somo:Usiache safari yako maana si kila unayemuona katika msafara usiokuwepo anajua anapokwenda."
8
45
182
4,510
Fredrick Max retweeted
To all those who dare and try out what most are afraid to do, you are brave. While the weak bystanders laugh and ridicule you, you are the man in the arena. Godspeed and Keep your head up! You are already in another realm. youtu.be/A311CnTjfos?si=U74X…
3
44
1
116
8,976
Nidhamu ni Daraja
1
17
118
2,053
Fredrick Max retweeted
🚀 Just launched: RIPA — Rapid Payment Application Built by Ramani in collaboration with Stanbic. 💸 Instant loan disbursement + supplier payment 🕐 In under 1 minute 🧾 No collateral needed This is how you build for 100 million.
1
6
466
To build for 100 million people, we need more than capital, we need collaboration and commitment. Our Head of Business & Commercial Banking, Fredrick Max, represented us as a panelist at the Ramani Product Launch, joining industry leaders in a powerful conversation under the theme: “Financing the Future, Building for 100 Million People.” During the panel, Fredrick spoke on the critical role of banks in accelerating innovation, improving access to finance for SMEs, and creating ecosystems that support sustainable, inclusive growth. He highlighted the importance of collaborative partnerships between banks and technology firms in shaping the future of business across the continent. Fredrick’s participation reinforces our position as a catalyst for economic transformation, and our continued commitment to walking with entrepreneurs on their journey to growth and impact.
1
2
75
Fredrick Max retweeted
Quote of the day. #qotd
10
224
13
808
217,595
If you can manage your own impatience, envy, and greed, you don't need much financial training. Those three enemies destroy wealth faster than financial illiteracy. If you must choose one, fight your hardest against envy. Because envy destroys both your money and joy.
3
32
3
75
3,708
Maisha ni Halisi - Kuwa Halisi Life is Real - Be Real
7
144
4
649
19,655
Fredrick Max retweeted
Nobody can unseat you from the table God prepared for you.
344
4,716
214
21,144
655,311
#NasahaZaAAH “Usiwakadirie sana Watu, usidharau Watu, usichukulie poa Watu, wenzako wanapambana kubadili historia ya maisha yao na kushinda vita ambazo Wazazi wao hawakuzishinda, wao ndio wana dhamana ya kubadili historia ya familia zao, kama huwezi kuwasaidia tafadhali usinunue silaha ili upigane nao”
21
59
2
236
11,453
Fredrick Max retweeted
If anyone tells you that a certain person speaks ill of you, do not make excuses about what is said of you but answer, "He was ignorant of my other faults, else he would not have mentioned these alone. - Epictetus
3
36
2
165
8,090
📍Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Benki ya Stanbic Tanzania, ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bw. Manzi Rwegasira, Ikulu Zanzibar mapema leo. Katika mkutano huo, Bw. Manzi ameihakikishia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar juu ya utayari wetu kuendelea kushirikiana nayo katika kufanikisha miradi ya maendeleo. Ameeleza kuwa @stanbicbanktz, kwa kushirikiana na Benki ya Wananchi Zanzibar (PBZ), tayari imetoa mkopo wa pamoja kwa Serikali ya Zanzibar ili kufadhili miradi ya maendeleo endelevu. Awamu ya kwanza ya mkopo huo ni TZS Bilioni 185, ukiwa na lengo la kuimarisha uchumi, kuboresha miundombinu, na kuchochea sekta muhimu kama utalii na uchumi wa buluu.
1
2
3
376
Fredrick Max retweeted
Ufundishike na ubebeke.
2
6
27
1,526
Ukitaka sikia sauti ya MUNGU…Punguza sauti za WALIMWENGU📌
23
82
4
466
20,240