Geo retweeted
Lakini this Gaucho guy is so funny, na watch podcast ya Iko nini na anasema vitu funny sana. 馃槄馃槄馃槄馃槄
Geo retweeted
Wah huyo dem mpya wa mkenya amecheka hivi wah wacha hata nisiendelee kusema chenye nataka kusema馃槂馃槂馃槂but it's baad!!!!
Geo retweeted
Wenye tuko Australia tumeweka alarm ya 3am ku watch game, na feel ni kama naamkia preps ya highschool.
Geo retweeted
Mahali kama Australia before upate any Job lazima ufanye First Aid course. I think we should emulate this in Kenya.
Geo retweeted
Kuna watu wamezaliwa Norway or Australia halafu sasa kuna wenye wamezaliwa Burundi or Uganda. Dunia si fair 馃ゲ
Geo retweeted
Most people dont know how much money is in the services we offer,like Electric fencing. Sasa kama hii tuseme ni 50/100 it costs around 132,000kes. Na tunaweka na siku mbili.
A month has 30 days, divide by 2 per project, hiyo ni 15 projects per month
Haya, 15 x 132,000kes = 2 million
Two million per month x 12 months?
= 24,000,000kes
24M per year, na bado hatujacount vitu kama CCTV cameras, Access controls, Fire alarm systems,
Mimi ni mtu mambo ikieza amua kuenda msuri nalalisha kitu kama 100Mirrion per year. Miaka tano nimenunua helicopter!
Siet! Leteni kasi aki keensight.co.ke



