Pinned Tweet
Haya sasa ni muda tu enjoy Movie ya 41 Sec ya #EMH Series Ma Nenga na Ma Hai Yenye Ngao....
Hakikisha tu unafanya Booking yako kwa safari za Dar
Bukoba
Mwanza
Musoma
Mpanda
Mbeya
Kila siku za Mungu...
Tumeipokea na kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Happy Nation na Hai Travelers tunaipereka kwa Abiria wetu wote.
Asanteni kwa Tuzo.
Cc @HaiTravelers
Raisi wa CBE ameikaribisha Safi Safi kwa route ya Dodoma - Mpanda Kila siku saa 11 jioni na kutoka Mpanda - Dodoma saa 1 usiku
Tumerud tena na leo kwenye Tuzo za Consumer Awards Africa
ccawardsafrica.co.tz/registe…
Tunaomba kura yako kwenye Tuzo za Latra katika Kila kipengele cha MSAFIRISHAJI MKUBWA Vote yako kwenye "ISSA KASSIMU NKYA (HAPPY NATION)"
Pia Vote yako kwenye Kila MSAFIRISHAJI WA KATI kwa Jina la "HAI TRAVELERS COMPANY LIMITED"
Tumekuwekea link kwenye bio yetu Instagram
Namba ya Bahati 793
Bado tunauliza Nani atamfunga Paka kengele
Tunasubiri kifurushi chetu cha Platinum VIP
Karibu kwenye Safari Grand Lounge
Kituo cha Mapokezi cha kisasa kwa abiria wetu wapendwa!
Hapa ndipo safari yako ya amani na starehe inaanzia.
Tunakuahidi huduma bora, usalama wa kiwango cha juu, na mapokezi yenye heshima kwa kila abiria.
Safari yako siyo tu kusafiri.
























