Homby 馃嚬馃嚳 (@Hombyjr1) header
Homby 馃嚬馃嚳 (@Hombyjr1) profile picture

Blogger/Adventurer/#Manchester united fan/ WE FOLLOW YOU BACK //Kuna ndoto inandoto ya kuishi ndani yako.

Tanzania
Joined September 2019
Ukianza kua bize kuongeza thamani ya maisha yako kubali kua kuna marafiki utawapoteza.
34
55
2
567
Hata ungakua wewe ndo Fadlu, imagine, Kangwanda amechoka lakini Sub yake ni Zakoan, ndo uwafunge warabu thubutu.馃槀
2
143
MC Algeria anapiga mtu chuma mbili, mpira hauongopi.馃槃
1
182
Yanga kufungwa leo ni swala la muda tu.馃槄
1
102
Wizara ya uvuvi na Kilimo zimetenganishwa inamana Mwana FA atakua anadili na Samaki tuu, yani waziri wa Samaki. Ila hii nchi.馃槄
24
Bora nyie mnaoangalia posho za kimaskini mnaona lissu kufungwa ndo ujannja, na kuona mpo upande ulioshindikana, ila kwa watu wazalendo siku ya leo ni nzito na yenye maumivu, Mungu ampe nguvu kila mmoja alieumizwa ila Dhulma haidumu, tuendelee kumuombea Tundu Lissu mana hajaua.馃檹馃従
6
42
669
Ukweli ni kwamba tunaongozwa na watu ambao hawana hata chambe ya hofu ya Mungu, ndomana saivi kuna hadi sherehe za mashoga, Pray for Tanzania.馃檹馃従
1
5
53
868
My intelligence, Lissu atatolewa 9 December kwa msamaha wa rais, ili mkuu ajioshe, ila ukweli ni kwamba kushindana na mtu mwenye Baraka na kibali kutoka kwa Mungu mwisho huwa mbaya sana.馃憡馃従
12
31
1
348
7,664
Kuna watu tupo upande wa Lissu sio kwamba ni Chadema au lah, ila tupo upande wa Haki ambayo hata vitabu vya dini vimezungumza.馃檹馃従
12
63
402
4,200
Kwahiyo kesi kubwa ikizaa kesi ndogo inamaana kesi ndogo haitakiwi kusikilizwa? hukumu inatolewa kutokana na kesi ndogo ambayo haijasikilizwa ? 馃槆
14
23
1
240
11,384
Hii hali ya kusambaa kwa Polisi jadi huku mikoani ni dalili kwamba hukumu ya Lissu sio nzuri sana.
27
758
Kati ya maamuzi ya busara ambayo serikali itayaamua kesho ni kumuachia Lissu na kati ya maamuzi ya hovyo yatakayoigharimu serikali ni kumfunga Lissu. Hii kete inahitaji jicho kali sana.
2
101
Hii ndo AI ya Simba ukiona amesimama na yeye ndo ameingiza Sub basi jua mechi imeisha.
96
Nimeangalia mechi ya Orando Pirates ukweli ni kwamba Simba pale uhuru apambane apate hata Draw.馃槄
2
215
Baada ya Kuwafunga tukawaingizia Doumbia kama kionjo, Basi tu sifa. 馃ぃ
1
1
5
365
Homby 馃嚬馃嚳 retweeted
Second half Yanga anakufa Chuma mbili.
2
1
3
431
Au nifungue kanisa nijiite Mtume 馃槃
Second half Yanga anakufa Chuma mbili.
3
307
Second half Yanga anakufa Chuma mbili.
2
1
3
431
Wanetu endeleeni kujisahau, katika ile miaka mitano bado minne, mbona mtalia kama ambulance muwe mnafwatilia mambo.
91
Homby 馃嚬馃嚳 retweeted
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitembea katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kujionea hali ya mazingira wakati akielekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ziara ya kustukiza, kukagua huduma mbalimbali hospitalini hapo.
36
10
8
182
45,721
Watu wanalala na nyoka uko kulipia gharama za utajiri wao wewe unatoka zako uko unakuja kutoa plate number za kwenye magari ya watu, polisi matatizo mnayataka wenyewe.
85