Pinned Tweet
We have done it. Thank you my people of #Ganda, Malindi.
Congratulations to us💙
Happy Birthday to me. It's another new year to bring more service to my Ganda Ward people. God grant me more health, life and wisdom for service. #chumachamaendeleo #Ganda1 #gandaward #happybirthday
Jumapili hii, nawaombea wakazi wote wa Ganda, Mungu aweze kuingilia kati kwenye maombi yenu na Jumapili hii ikawe siku ya ushuhuda maishani mwenu.
1
4
296
Ninawaalika wakaazi wote wa Ganda kwenye zoezi la kujiandikisha katika programu ya Inua Jamii itakayofanyika katika Ofisi ya Chifu wa Mere, tarehe 12 na Ofisi ya Naibu wa Chifu wa Msabaha,tarehe 13 mwezi huu mtawalia.
#InuaJamiiProgram
1
2
198
Huduma ya Inua Jamii ni huduma ya kuandikisha WAZEE,MAYATIMA na WACHOCHOLE katika jamii kupata fedha za kujikimu kimaisha kutoka kwa serikali.
Tujitokeze kwa wingi tuandikishe ndugu,jamaa na marafiki katika programu hii muhimu katika jamii.
1
2
118
Deeply saddened by the demise of Kilifi Chief Officer for Blue economy Rahab Karisa, who was stabbed allegedly by her house help.
My deepest condolences to the friends, colleagues and the family.
UGAWAJI WA CHEKI ZA BASARY- AWAMU YA TATU
Nawaalika wakaazi wa Ganda katika zoezi za kukabidhi cheki za bursary kwa wanafunzi wa Ganda likalofanyika katika ofisi kuu iliyoko Kijiwetanga Jumanne saa nne asubuhi 27th Juni 2023.
Naawalika wakaazi wa Ganda katika hafla ya ugawaji wa basari awamu ya tatu.
JUMANNE 23 MEI
KIJIWETANGA OFFICE ( SAA TATU ASUBUHI)
MSABAHA ( SAA NANE MCHANA)
JUMATANO 24 MEI
GANDA (SAA TATU ASUBUHI)
KWA UPANGA OFFICE (SAA NANE MCHANA)
Fomu zinapeanwa kwa mzazi/ mlezi pekee.
2
4
168
I would like to take this opportunity to wish a Happy Labour Day to all workers in Ganda,Kilifi and Kenya at large.
#happylabourday2023
May Allah reduce your hardships and bless you with peace, prosperity and genuine happiness this Eid.
#EidMubarak2023
I welcome and commend the call for unity among all leaders in Kilifi County regardless of political divide, for the social & economic devpnt of our people, as expressed by Kilifi County Senator Hon. (Rtd) Justice Stewart Madzayo in his address to the 3rd Kilifi County Assembly.




















