Pinned Tweet
Dear @Meta @instagram @WhatsApp Leadership,We urge Meta to immediately stop complying with requests from the Government of Tanzania to suspend or disable accounts of human-rights defenders, journalists, and activists who peacefully advocate for justice and
Meta who also owns WhatsApp, banned my number 424-537-3057 from WhatsApp because this is the number Tanzanians were using to send me the photos and videos of the October 29 killings committed by Samia Suluhu which I then posted on this X page.
It’s clear meta has decided to de platform anyone opposing the illegitimate and brutal Tanzania government. Just sad.
Watu aina ya "SABELA" wapo Weengi Sanaa TANZANIA..
Mmoja Wapo ni Murilo na Faustine Mafwele..
Kuna Siku Umma Utawatia NGUVUNI, siku yenu yaja na wala sio Mbali hata
"The historic criminal case against the legitimate President of Tanzania @SuluhuSamia for Crimes Against Humanity will commence hearing at any moment. Justice delayed is not justice denied — the wheels of accountability are turning" :~ @IntlCrimCourt
Hii System ya kihuni iliyopo ndani ya Nchi yetu ni Lazima tuipoteze kabisaa Vinginevyo italeta Shida kwa Kizaz cha GEN-ALPHER (Kizazi Chetu)
Tuhakikishe Tunatoka kwa Wingi ili Kuionyesha DUNIA kua Hatukubaliani na Huu UTAWALA uliotwaa Madaraka kwa Mtutu wa BUNDUKI
TUMETEKWA #D9
WASENGE kama MCHENGERWA ndio Maana Wapo tayari kutoa hata Roho Zetu ili tu Kumlinda Samuya.
Kwa Sababu wanafahamu kua Samuya tukimfurumusha Wataozea Jela.
Ndio Maana Wanapambana Kufa na Kupona.
Hawa Wajinga Walitakiwa Kua JELA sio Kupewa nafasi kama hizi.
Kuelekea #December9
VIDEO:
Wakuu wa Taasisi na Watumishi wa sekta ya afya kwa ujumla wake, wametakiwa kubadilika na kuhakikisha wanatimiza majukumu yao ipasavyo, na kwamba mara zote wahakikishe wagonjwa wanaofika Hospitalini wanapata huduma stahiki kwa haraka badala ya kuwasubirisha kwa muda mrefu kutokana na changamoto ambazo kwenye mazingira ya kawaida zinaweza kutafutiwa majibu kwa haraka
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa ametoa onyo hilo leo, Jumatatu Desemba 08.2025, alipokuwa akizungumza kwenye kikao kazi na watumishi wa sekta ya afya Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo ametolea mfano Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ambayo imepata 'mashine mpya' lakini haijaanza kufanya kazi hadi sasa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa inasubiri 'hafla ya kufunguliwa'
Mfano mwingine alioutoa unahusu Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) ambayo mashine zake tatu (3) hazifanyi kazi (zimeharibika) kwa takribani miezi miwili (2) lakini hatua za kuzitengeneza hazijachukuliwa hadi sasa, huku wagonjwa wakikosa kupata huduma kwa muda wote huo, jambo ambalo amesema kuwa halikubaliki
The historic criminal case against the FAKE President of Tanzania @SuluhuSamia for Crimes Against Humanity will commence hearing at any moment. Justice delayed is not justice denied — the wheels of accountability are turning.
@IntlCrimCourt
🗣Maandamano ni Haki ya Kila Mtanzania, yapo Rasmi kwa Mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..
Hakuna Sheria Wala Tamko Lolote linaloweza Kupingana na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania ambayo ndio Sheria Mama..
Tupuuze VijiStatment Vya PoliCCM #D9
GreaterThinker💎 retweeted
Dar es Salaam tunakutana Mnazi Mmoja then uelekeo utakuwa Ikulu.
#D9Tunatoka
🗣KUMBUKA, trick ya kuwazuia watu kutoka (curfew) ilitumika tarehe 29 Oktoba IGP alipiga marufuku wananchi kutoka nje ya nyumba zao. Watu walivyojifungia ndani tu ndiyo ukawa mlango wa kuua raia wasio na hatia. Watu walifuatwa makwao na kupigwa risasi.
Ungana Nasi hiyo KESHO...
Waliobaki ndani na Kujificha Walipigwa RISASI za MOTO tarehe 29 Oktoba
Uamuzi ni Wako Ubakie Ndani au Utufate BaraBarani.
Kama unakumbuka Kule Mbeya Weengi Walifuatwa Majumbani Kwao na Kupigwa Shaba.
Kesho December 9 Ungana na Wapenda HAKI
Tafadhari MABANGO ni Muhimu Hiki kitu kilitukost sana Tarehe 29, ilifikia Muda watu wakawa wanaandika kwenye Vijibox Vidogo na MakPen yenyewe ilkua Mtihani.
Tujitahidi sanaa, Hili lisijirudie tenaa..
Kingine Tusisahu Kubeba PICHA ZA WAPEMDWA WETU waliopoteza Maisha Oktoba 29.
Ushauri Mnaotupatia tupo Nje ya Muda, Tumechoka kwa hizi Ahadi HEWA...
Kila siku Mnatupa PropaGanda hakuna Mnacho Kitimiza TUMECHOKA...
Njia tuliyoichagua Sisi GEN-Z ni Maandamano, kwetu Sisi hii ndio Njia Sahihi Maana Hatusikilizwi....
Tukutane Kesho
Tunataka Kuonyesha DUNIA KWAMBA MAANDAMANO YA AMANI YANAWEZEKANA kabisaaa..
Hakuna atakae Umizwa hata UKUCHA, Hakuna atakae Fanya Fujo wala Kuibiwa Mali yake..
Polisi Wafate Sheria Maana wao ndio hua Chanzo chw VURUGU...
Tukadai Haki za Mashujaa Wetu, Waliopoteza Maisha Okt29.
Tunataka Kuionyesha DUNIA Kwamaba tunaweza kuandamana kwa AMANI kabisaaa...
Tunataka Kuionyesha DUNIA kwamba Maandamano sio vita wala FUJO kama Watawala wanavyodhania.
TUNAENDA KUFANYA MAANDAMANO MAKUBWA KABISAA LAKINI YA AMANI.
Mtu asiumie hata UKUCHA
GreaterThinker💎 retweeted
#Tanzania: Ahead of protests planned for Independence Day on 9 December, UN Human Rights Office reminds security forces they must refrain from using force to disperse non-violent assemblies and make every effort to de-escalate tensions.
ohchr.org/en/press-briefing-…
Tupo Ground Huku tutakua tuna Share Baadhi ya Vitu...
1. Locataion Za Kuanzia Maandamano tayari nafikiri Mnafahamu, Kuna Wazo kwamba Tupitie UMOJA WA MATAIFA KABLA YA KWENDA STATE HOUSE.
2. Tumekubaliana Asiumizwe Mtu hata UKUCHA.
3. TUANDAMANE kwa Amani kabisaa bila Madhara..
BONGO ZOZO, anasema Wazi Kabisaa Kesi ya UHAINI inatumiwa na Watawala Kuwanyamazisha Wakosoaji....
Tena BongoZozo akasema Mara Nyingi Kosa la UHAINI hutendwa na Jeshi (Vyombo vya Usalama) ni Ngumu sanaa kwa Raia wa Kawaida Kutenda Kosa hilo..
anaitwa MCHOCHEZI #FujoIsiyoUmiza..
























