Watu wameiba billions of money CAG kataja kwenye report yake lakini wapo huru wanakula Maisha Ila mnamfunga Mtu ambaye Hana kosa? Mungu anaona yote haya
4
149
Msafiri retweeted
Akiwasilisha mitigating factors, Lissu anasema:
"Historia haijawahi kuwa nzuri kwa Majaji wanaofunga watu wasio na hatia ili wamridhishe mteule. Hilo kosa la uchochezi mmelitafuta wenyewe Majaji kumsaidia mteule wenu."
What a Man!
Msafiri retweeted
Tumesubiri sana toka siku ya Kwanza hadi siku ya Leo ya hukumu yako.
Tunajua na Dunia nzima inajua hauna hatia hata hukumu itoke vipi,
Tunaamini letu hukumu itakua ya kukuachia HURU ukamzike kaka yako 💔.
Binafsi nakuombea na imani na wengine wote wanakuombea uwe Huru🙏.
Msafiri retweeted
Pumzika kwa amani, mzee wangu Alute Mughwai Lissu. 🕊️
Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Alute Mughwai Lissu, na kaka mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 1, 2026, akiwa anapatiwa matibabu jijini Arusha. Ni wakati mgumu sana kwa familia, ukizingatia zimebaki siku tano tu kabla ya Mahakama kutoa hukumu katika kesi ya uongo ya uhaini kwa mdogo wake. Tunamuomba Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu, subira, na utulivu wanafamilia wote.
Raha ya milele umpe, Ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina.
Msafiri retweeted
It’s heartbreaking that they’re still unwilling to have this conversation, still refusing to confront the truth and acknowledge that what they did was nothing short of inhuman🙌🙌🙌
Msafiri retweeted
October 29, 2025 left a permanent mark. Familia zilipoteza nguvu kazi na watoto wakabaki bila wazazi. May justice prevail! 🕊️🖤
Tarehe kama ya Leo mwaka Jana tulipoteza ndugu zetu wengi sana wapumzike kwa amani, HATUTASAHAU #Mo29
Msafiri retweeted
Ninakuita, mshirika wangu, uko wapi Twaha Mwaipaya?
Ninajiuliza, Samia Suluhu anataka ateke, kupoteza na kuuwa watu wangapi, ili iweje?
#FreeTwahaMwaipaya Now!
Msafiri retweeted
Kuna clip ya DW kuhusu matukio ya Oct 29 baba anaelezea kijana wake alivyouawa akaacha binti mjamzito wa miezi miwili na sasa analea mjukuu! We will never forget.
Msafiri retweeted
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
Msafiri retweeted
Kitu nilichojifunza mtu ukishampigia simu hajapokea - hata akikutafuta usiulize kwanini hakupokea?.
Kwani kuuliza kama hakupokea kuna asilimia kadhaa za kumuaminisha kuwa kama alikua hapokei kwa uzuri basi hata akifanya utauliza na atajitetea.
Kiufupi wewe nyamaza tu, utaona.
Baada ya kushiba bamia na viporo🚮
Nishauri Serikali itume ndege maalumu kwenda kumchukua Binti yetu Jihan mshindi wa taji la Dunia la @MissGrandInter. Na kisha aandaliwe mapokezi ya kitaifa. Taji hili litumike kwa nguvu kubwa kurejesha umoja wetu wa kitaifa, Pia litumike kuitangaza nchi yetu kwa utalii nk.
1
32

























